Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hakimu Karagwe aacha kazi ghafla

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Hakimu wa Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera, Peter Matete, ameacha kazi ghafla, huku akikwepa kutaja sababu ya hatua hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari jana  mjini Kayanga,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Pluijm aacha kazi Yanga

Kocha Mholanzi wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Wilbert Molandi
KOCHA Mholanzi wa Yanga, Hans van Der Pluijm, ameacha kazi katika klabu hiyo.
Pluijm ameondoka nchini jana kwenda Saudi Arabia, Mashariki ya Kati barani Asia ambako ataingia mkataba wa kuinoa Klabu ya Al Shoala na atakuwa akilipwa dola 20,000 (Sh milioni 32) kwa mwezi wakati Yanga ilikuwa ikimlipa dola 11,000 (Sh milioni 18) kwa mwezi.
Pluijm alitua Yanga miezi...

 

11 years ago

BBCSwahili

Brazil:Luiz Felipe Scolari aacha kazi

Kocha wa timu ya taifa ya Brazil,Luiz Felipe Scolari, ameacha kazi kama meneja wa timu hiyo

 

11 years ago

GPL

AFISA HABARI WA FUFA, MULINDWA AACHA KAZI

Afisa habari wa FUFA, Rogers Mulindwa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Amokachi aacha kazi baada ya wiki tano

Daniel Amokachi amejiuzulu wadhifa wake kama meneja wa FC IfeanyiUbah, Nigeria baada ya kufanya kazi wiki tano pekee.

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Maulid Kitenge aacha kazi Radio One na kujiunga na EFM

Mtangazaji mkongwe wa michezo kwenye kituo cha redio cha Radio One Stereo, Maulid Kitenge ameacha kazi na kwenye kituo hicho na kujiunga na kituo kipya cha redio, EFM. Kitenge akisaini mkatana wa kujiunga na EFM, kushoto ni Mkurugenzi wa Vipindi, Dickson ‘Dizzo’ Ponela Katika barua yake ya kujiuzulu, Kitenge ambaye amefanya kazi kwenye kituo hicho […]

 

9 years ago

GPL

HAPA KAZI TU: RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA ZIARA YA GHAFLA WIZARA YA FEDHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dk.John Pombe Magufuli akisani kitabu cha wageni baada ya kufika Wizara ya Fedha. ...Akikagua utendaji kazi wa wafanyakazi mbali mbali wizarani hapo. …

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA KARAGWE

Afungua ofisi ya Saccos ya Vijana wa CCM
Akabidhi pikipiki tano
Asisitiza kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Ameahidi kusimamia haki na kutetea wanyonge
Mbunge wa Jimbo la Karagwe Mhe.Gosbert Blandes akihutubia wakazi wa kata ya Kihanga ambao walijitokeza kwa wingi kumpokea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kata ya Kihanga waliojitokeza kwa wingi kuwapokea yeye na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.Katibu Mkuu...

 

10 years ago

Habarileo

Mwandosya aacha wosia

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark MwandosyaWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Mark Mwandosya ameaga rasmi ubunge na kutoa wosia kwa mawaziri watakaoteuliwa katika Serikali ijayo, kuwa wasikivu kwa wabunge, ili taifa lifikie maendeleo.

 

9 years ago

GPL

MAUREEN AACHA MKOROGO

Mshiriki wa Miss Tanzania 2005, Maureen Gislary. Mshiriki wa Miss Tanzania 2005, Maureen Gislary ambaye pia ni mcheza filamu, baada ya kujichubua na kubadili ngozi yake ameamua kuacha mkorogo kutokana na marafiki kumuonya kila kukicha. Rafiki wa karibu na Maureen alisema kuwa sasa ameamua kuacha mkorogo kwani hakuna aliyekuwa akimsapoti kutokana na kujichubua kwake.“Yaani marafiki tumesababisha mpaka Maureen ameacha mkorogo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani