HAPA KAZI TU: RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA ZIARA YA GHAFLA WIZARA YA FEDHA
![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.John Pombe Magufuli akisani kitabu cha wageni baada ya kufika Wizara ya Fedha. ...Akikagua utendaji kazi wa wafanyakazi mbali mbali wizarani hapo. …
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/vlUUohP1XtA/default.jpg)
9 years ago
CCM Blog07 Nov
RAIS DK. MAGUFULI ATINGA GHAFLA WIZARA YA FEDHA LEO
![mg1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/11/mg1.jpg)
![mg2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/11/mg2.jpg)
![mg3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/11/mg3.jpg)
9 years ago
Michuzi24 Dec
RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA MAWAZIRI KUJAZA NAFASI ZILIZOKUWA WAZI
![pombe](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/pombe1.jpg)
9 years ago
MichuziRAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-3bxIkxhe-tc/Vo06jrDogdI/AAAAAAADElU/fuh6Qlgm5Vk/s1600/New%2BPicture.png)
9 years ago
Bongo506 Nov
Picha: Dk Magufuli afanya ziara ya kushtukuza kwenye wizara ya fedha na kukuta maofisa wengi ‘wamekacha’ kazini
![12063128_1643793222525539_937422512_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12063128_1643793222525539_937422512_n-300x194.jpg)
Siku moja baada ya kuapishwa kuwa Rais wa tano wa Tanzania, Dokta John Magufuli ameanza kuifanyia kazi kauli mbiu yake ya ‘Hapa Kazi Tu’, kwa kufanya ziara ya kushtukiza kwenye wizara ya fedha Ijumaa hii.
Rais huyo amedaiwa kutembea kwa mguu kutoka ikulu hadi kwenye ofisi za wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
Hata hivyo kwakuwa hiyo ilikuwa ni ziara ya kushtukiza, maofisa wengi walikuwa nje ya ofisi wakipiga mishe mishe zingine.
Akiwa kwenye wizara hiyo, Dk Magufuli amekagua ofisi zote na...
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
9 years ago
Dewji Blog26 Dec
Waziri Nape Nnauye awataka Watanzania kuendelea kumuombea Rais Dk John Pombe Magufuli, kazi ya kutumbua majipu ni ngumu na ina vikwazo vingi
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Ndugu Nape Nnauye aliyekuwa mgeni rasmi akimuwakilisha Makamu wa Rais Mh. Mama Samia Suluhu Hassan akizindua rasmi albam mbili za kwaya ya Wakorintho wa Pili kwenye tamasha la Krismas lililofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jana, ambapo mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika ya Kusini Rebecca Malope amefanya onesho kubwa lililovuta hisia za mashabiki wengi waliohudhuria katika tamasha hili akishirikiana na waimbaji mbalimbali...
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-sz8H0saFM4c/VfXxyV4_0sI/AAAAAAAA1Ic/yJYDDuKzqmI/s72-c/MAGUFULI.jpg)
HUYU HAPA JOHN POMBE MAGUFULI WA MWAKA 1978
![](http://2.bp.blogspot.com/-sz8H0saFM4c/VfXxyV4_0sI/AAAAAAAA1Ic/yJYDDuKzqmI/s640/MAGUFULI.jpg)
Magufuli aliweza ku tweet picha hiyo (iliyopo juu) na Kuandika haya hapa:Dr John Magufuli @MagufuliJP Sep 13
Mwaka 1978 - nikiwa na umri wa miaka 19, Kidato cha Nne katika shule ya Sekondari ya Lake, Mwanza.
Kupitia akaunti yake ya Twitter Mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi John Pombe Magufuli ameweza kushare nasi baadhi ya Memory kubwa aliyonayo katika maisha yake, nayo ni picha yake ya Ujana aliyoipiga akiwa na umri wa miaka 19 akiwa katika shule ya Sekondari ya Lake iliyopo jijini...