Waziri Nape Nnauye awataka Watanzania kuendelea kumuombea Rais Dk John Pombe Magufuli, kazi ya kutumbua majipu ni ngumu na ina vikwazo vingi
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Ndugu Nape Nnauye aliyekuwa mgeni rasmi akimuwakilisha Makamu wa Rais Mh. Mama Samia Suluhu Hassan akizindua rasmi albam mbili za kwaya ya Wakorintho wa Pili kwenye tamasha la Krismas lililofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jana, ambapo mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika ya Kusini Rebecca Malope amefanya onesho kubwa lililovuta hisia za mashabiki wengi waliohudhuria katika tamasha hili akishirikiana na waimbaji mbalimbali...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog28 Dec
Kanisa la Pentekoste Singida lamuombea Rais Magufuli nguvu ya kuendelea kutumbua majipu nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.
Na Nathaniel Limu, Singida
KANISA la Pentekoste (FPCT) Tanzania la mjini kati Singida limetumia maadhimisho ya siku ya kuzaliwa (krismasi) kwa Yesu Kristo, kumwombea Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Mungu aendelee kumpa afya,nguvu na ujasiri wa kutumbua majipu.
Maombi hayo maalum,yalifanywa na waumini wa kanisa hilo wakiongozwa na mchungaji Philipo Sospeter,kwa kile kilichodaiwa kuwa Rais Magufuli ameanza vizuri kuwatumikia...
9 years ago
Michuzi
Ibada maalum ya kumuombea Dkt. Rais John Pombe Joseph Magufuli yafanyika jijini London




9 years ago
Habarileo27 Dec
Nape aomba Watanzania kumuombea Magufuli
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amewaomba Watanzania kuendelea kumuombea Rais John Magufuli, kwani kazi ya kutumbua majipu ambayo ameianza ni kazi ngumu na yenye vikwazo.
9 years ago
Dewji Blog25 Dec
10 years ago
Dewji Blog21 Aug
News On: Dkt. John Pombe Magufuli arudisha fomu, awaomba waendelee kumuombea
Dk Magufuli pichani, ambapo mapema majira ya saa tano ya leo Agosti 21.2015, amerejesha fomu za kugombea Urais katika tume ya uchaguzi NEC. (Picha ya Maktaba).
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Ilala-Dar es Salaam) Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mapema leo Agosti 21, amerejesha fomu ya Kuomba kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM katika tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC’, zilizopo Ilala,...
9 years ago
GPL
HAPA KAZI TU: RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA ZIARA YA GHAFLA WIZARA YA FEDHA
5 years ago
CCM Blog
RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AWAOMBA WATANZANIA KUTUMIA SIKU 3 KUMUOMBA MUNGU ATUEPUSHE NA JANGA LA CORONA


5 years ago
Michuzi
RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AWAOMBA WATANZANIA KUTUMIA SIKU 3 KUMUOMBA MUNGU AWAEPUSHE NA JANGA LA CORONA


9 years ago
Habarileo08 Dec
Magufuli aendelea kutumbua majipu
RAIS John Magufuli ameendelea kutumbua majipu katika maeneo mbalimbali yenye harufu ya ufisadi, ambapo safari hii ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk Shaaban Mwinjaka kwa ajili ya kupisha uchunguzi dhidi ya matumizi mabaya ya kiasi cha Sh bilioni 13 katika Shirika la Reli Tanzania (TRL).