Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


News On: Dkt. John Pombe Magufuli arudisha fomu, awaomba waendelee kumuombea

2Dk Magufuli pichani, ambapo mapema majira ya saa tano ya leo Agosti 21.2015, amerejesha fomu za kugombea Urais katika tume ya uchaguzi NEC. (Picha ya Maktaba).

Na Andrew Chale, modewjiblog

(Ilala-Dar es Salaam)  Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mapema leo Agosti 21, amerejesha fomu ya Kuomba kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM  katika tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC’, zilizopo Ilala,...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Ibada maalum ya kumuombea Dkt. Rais John Pombe Joseph Magufuli yafanyika jijini London

 Askofu Mkuu wa kanisa la CCBC Dr Sarpong (kushoto) kutoka Ghana na Pastor Bob kutoka Kenya wakiongoza Ibada maalum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli jijini London usiku wa kuamkia leo. Naibu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Msafiri Marwa akitoa neno la Shukurani wakati wa ibada hiyo jijini London.Wanakwaya wa kanisa la CCBC wakiimba kwenye Ibada hiyo jijini London Naibu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Msafiri Marwa akipata...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AWAOMBA WATANZANIA KUTUMIA SIKU 3 KUMUOMBA MUNGU ATUEPUSHE NA JANGA LA CORONA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli. NA IKULU

 

5 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

NEWS UPDATES KUTOKA DODOMA JIONI HII;NI DKT ASHA ROSE MIGIRO,BALOZI AMINA SALUM ALI NA DKT JOHN POMBE MAGUFULI

 Balozi Amina Salum Ali Dkt John Pombe MagufuliDkt Asha Rose Migiro.
Pichani ni majina matatu ya wagombea kiti cha Urais kwa chama cha CCM,yaliyopitishwa jioni ya leo na Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM,ambapo kati ya hayo majina matatu kupitia Mkutano Mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika usiku huu utaibua jina la mtu mmoja tu ambaye  atatambulika kuwa ndiye mgombea kiti cha Urais kupitia chama hicho cha CCM

 

10 years ago

Michuzi

NEWS UPDATE: DKT. JOHN POMBE MAGUFULI NDIE MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM

Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikumbatiana na Dkt. John Pombe Magufuli, mara baada ya kutangazwa kuwa ndiye Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, mchana huu hapa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Dodoma Convition Centre, Mjini Dodoma. Dkt. Magufuli ameibuka kidedea kwa jumla ya kura 2104, wakati wapinzani wake Amina Salum Ally, akiibuka na kura 253 na Dkt. Asha-Rose Migiro, akipata kura 59. Viongozi wakuu wameenda kwenye kikao...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Nape Nnauye awataka Watanzania kuendelea kumuombea Rais Dk John Pombe Magufuli, kazi ya kutumbua majipu ni ngumu na ina vikwazo vingi

1

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Ndugu Nape Nnauye aliyekuwa mgeni rasmi akimuwakilisha Makamu wa Rais Mh. Mama Samia Suluhu Hassan akizindua rasmi albam mbili za kwaya ya Wakorintho wa Pili kwenye tamasha la Krismas lililofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jana, ambapo mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika ya Kusini Rebecca Malope amefanya onesho kubwa lililovuta hisia za mashabiki wengi waliohudhuria katika tamasha hili akishirikiana na waimbaji mbalimbali...

 

9 years ago

Michuzi

DKT JAKAYA KIKWETE NA DKT JOHN POMBE MAGUFULI WAWASILI JIJINI MWANZA MCHANA HUU KUHITIMISHA SHUGHULI ZA KAMPENI

 Mwenyekiti wa CCM,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Mgombea Urais wa chama hicho Dkt John Pombe Magufuli,mara baada ya kuwasili katika uwanja wa CCM Kirumba kuhitimisha shughuli za kampeni nchini kote,ambapo hapo kesho wananchi wanatarajia kupiga kura ya kuwachagua viongozi wawatakao. Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Kikwete na Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli wakielekea jukwaani kwa pamoja mara baada ya kupokelewa katika uwanja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani