NEWS UPDATE: DKT. JOHN POMBE MAGUFULI NDIE MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM

Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikumbatiana na Dkt. John Pombe Magufuli, mara baada ya kutangazwa kuwa ndiye Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, mchana huu hapa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Dodoma Convition Centre, Mjini Dodoma. Dkt. Magufuli ameibuka kidedea kwa jumla ya kura 2104, wakati wapinzani wake Amina Salum Ally, akiibuka na kura 253 na Dkt. Asha-Rose Migiro, akipata kura 59. Viongozi wakuu wameenda kwenye kikao...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Joseph Magufuli apiga kura chato



5 years ago
MichuziMkutano Mkuu wa TLP kumpitisha Mgombea Urais Dkt. John Pombe Magufuli wa CCM.
Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kimesema kuwa Mkutano mkuu wa chama hicho utaofanyika Mei 9 mwaka huu Kitapitisha Mgombea wa Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt.John Pombe Magufuli.
Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa Chama hicho Agustino Latonga Mrema amesema kuwa jina Mgombea Urais lilisgapitishwa na Halmashauri Kuu Chama na kilichobaki ni kudhibitisha jina la Mgombea huyo.
Amesema kuwa katika uchaguzi mkuu hakuna haja ya kuweka Mgombea...
10 years ago
Vijimambo
Hotuba ya Dr John Pombe Magufuli kukubali kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM 2015

10 years ago
Dewji Blog14 Jul
Mgombea urais kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli awasili jijini Dar, ajitambulisha kwa wana Dar Es Salaam
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza Mama Samia Suluhu wakishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere na kulakiwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali Mkoa wa Dar es salaam, Ambapo baadae Wagombea hao walitambulishwa kwenye mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Zakhem Mbagala jijini Dar es salaam.
Magufuli amekishukuru chama cha Mapinduzi na watanzania kwa...
10 years ago
Vijimambo
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DR. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM NA AJITAMBULISHA KWA WANA DAR ES SALAAM

10 years ago
Vijimambo
PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS









10 years ago
GPL
MJUE KWA UNDANI MGOMBEA URAIS WA CCM, MHE. JOHN POMBE MAGUFULI
10 years ago
Vijimambo
MHE.JOHN MAGUFULI NDIYE MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUPITIA CCM 2015

Dr. Asha Rose Migiro amepata jumla ya kura 59 sawa na na asilimia 2.4%
Balozi Amina Ali amepata jumla ya kura 253 sawa na asilimia 10.5%
Mhe. John Magufuli amepata jumla ya kura 2104 sawa na asilimia 87.1%
10 years ago
Michuzi
CCM TAWI LA CHINA WAPONGEZA UTEUZI WA DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KUGOMBEA URAIS
