Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM TAWI LA CHINA WAPONGEZA UTEUZI WA DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KUGOMBEA URAIS

CCM TAWI LA CHINA TUNATOA PONGEZI KWA MWENYEKITI WA CCM TAIFA, WAJUMBE WA KAMATI YA MAADILI NA USALAMA, KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA, HALMASHAURI KUU YA TAIFA NA MKUTANO MKUU WA TAIFA KWA KUTUPATIA MGOMBEA MWADILIFU, MAKINI, MZALENDO WA KWELI NA MCHAPAKAZI HODARI AMBAYE ATAPEPERUSHA BENDERA YA CHAMA CHETU KWA NAFASI URAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA 2015, TUNATARAJIA KUPATA USHINDI WA KISHINDO. HONGERA SANA MH. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI (...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Joseph Magufuli apiga kura chato

 Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akijiandaa kupiga kura huko kijijini kwake Chato mkoani Geita leo  Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipiga kura yakeMgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. John Pombe Joseph Magufuli akikunja vizuri karatasi baada ya kupiga kura yake jimboni kwake Chato mapema leo asubuhi Oktoba 25, 2015.

 

9 years ago

Michuzi

PONGEZI KWA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKA KWA WANACHAMA WA CCM,TAWI LA CCM CHINA

TAWI LA CCM CHINA TUNAKUPONGEZA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUCHAGULIWA KWA KURA NYINGI KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WA AWAMU YA TANO.TUNAKUTAKIA AFYA NJEMA NA MAFANIKIO KATIKA KIPINDI CHA UONGOZI WA JUU WA NCHI YETU.

 

10 years ago

Michuzi

NEWS UPDATE: DKT. JOHN POMBE MAGUFULI NDIE MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM

Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikumbatiana na Dkt. John Pombe Magufuli, mara baada ya kutangazwa kuwa ndiye Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, mchana huu hapa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Dodoma Convition Centre, Mjini Dodoma. Dkt. Magufuli ameibuka kidedea kwa jumla ya kura 2104, wakati wapinzani wake Amina Salum Ally, akiibuka na kura 253 na Dkt. Asha-Rose Migiro, akipata kura 59. Viongozi wakuu wameenda kwenye kikao...

 

5 years ago

Michuzi

Mkutano Mkuu wa TLP kumpitisha Mgombea Urais Dkt. John Pombe Magufuli wa CCM.

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii

Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kimesema kuwa Mkutano mkuu wa chama hicho  utaofanyika Mei 9 mwaka huu Kitapitisha Mgombea wa Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt.John Pombe Magufuli.

Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa Chama hicho Agustino Latonga Mrema amesema kuwa jina Mgombea Urais lilisgapitishwa na Halmashauri Kuu Chama na kilichobaki ni kudhibitisha jina la Mgombea huyo.

Amesema kuwa katika uchaguzi mkuu hakuna haja ya kuweka Mgombea...

 

9 years ago

Michuzi

DKT John Pombe Joseph Magufuli auteka mji wa kahama keo

 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwasili kwemye mkutano wa hadhara wa kampeni mjini Kahama leo  Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia gharika ya wananchi i kwemye mkutano wa hadhara wa kampeni mjini Kahama leoMgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia gharika ya wananchi i kwemye mkutano wa hadhara wa kampeni mjini Kahama leo

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea wa Urais Dkt John Pombe Magufuli  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo. 
  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea Mwenza  wa Urais Mh. Samia Suluhu  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo.   Baadhi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani