Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS DK. MAGUFULI ATINGA GHAFLA WIZARA YA FEDHA LEO

mg1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiambatana na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.  Servacius Likwelile alipotembelea ofisi za Wizara ya Fedha. mg2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipata ufafanuzi kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.  Servacius Likwelile wakati wa ziara hiyo.mg3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  akiongea na uongozi wa Wizara ya...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

HAPA KAZI TU: RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA ZIARA YA GHAFLA WIZARA YA FEDHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dk.John Pombe Magufuli akisani kitabu cha wageni baada ya kufika Wizara ya Fedha. ...Akikagua utendaji kazi wa wafanyakazi mbali mbali wizarani hapo. …

 

9 years ago

GPL

RAIS MAGUFULI ATINGA MUHIMBILI GHAFLA, AONGEA NA WAGONJWA

Rais Dk. Magufuli akiingia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili leo. Rais Dk. Magufuli akiongea na wagonjwa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.John Pombe Magufuli leo amefanya ziara nyingine ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kujionea hali ya utoaji huduma kwa wagonjwa. Akiwa hospitalini hapo, Rais Magufuli alipata fursa ya kuongea na wagonjwa. Awali Rais Magufuli alifika katika Hospitali ya Agha Khan...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA FEDHA,ATINGA BANDARINI DAR GHAFLA

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, ametinga ghafla bandarini Dar es Salaam leo asubuhi baada ya wafanyabiashara kuanzisha tafrani ya kudai kucheleweshewa huduma. Waziri Mkuya alipofika bandarini hapo alikwenda hadi Mapato Hause baada ya  mawakala kuona kuwa wanacheleweshewa kupata huduma muhimu ambapo waliamua kulalamika kwake. Alipofika Mapato Hause, Waziri Mkuya alilalamikiwa kuwa mtandao mpya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dk. Magufuli: “ Ziara yangu ya kushtukiza Wizara ya Fedha, imenisaidia kujua changamoto zinazoikabili wizara hii”

IMG_5422

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiambatana na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.  Servacius Likwelile alipotembelea ofisi za Wizara ya Fedha.

IMG_5434

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipata ufafanuzi kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.  Servacius Likwelile wakati wa ziara hiyo.

IMG_5475

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  akiongea na uongozi wa Wizara ya Fedha.

Rais wa Jamhuri wa Muungano...

 

10 years ago

Vijimambo

DK. MAGUFULI ATINGA ZANZIBAR LEO

 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli akipanda ndege katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, tayari kwa safari ya kwenda Zanzibar kutambulishwa kwa wanachama, leo Mgombea Urais kwa tuketi ya CCM, Dk. John Magufuli akiwa na mgombea mwenza wake, Samia Suluhu Hassan, wakati wa safari kutoka Uwanja wa Julius Nyerere kwenda Zanzibar leo, kwa ajili ya Chama kuwatambulisha kwa wananchama Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli akishuka kwenye ndege na mgombea...

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ......: RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA KATIBU MKUU WIZARA YA UCHUKUZI, AVUNJA BODI YA MAMLAKA YA BANDARI (TPA) LEO

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amevunja bodi ya Mamlaka ya Bandari nchini (TPA) pamoja na kutengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Shaaban Mwinjaka, Mwenyekiti wa Bodi ya Bandari Profesa Joseph Msambichaka pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bandari, Awadh Massawe.
Kuvunjwa kwa bodi hiyo kunatokana na utendaji mbovu wa Mamlaka hiyo kwa muda mrefu na kitendo cha kutokuchukua hatua katika vyanzo husika.
Akizungumza  na waandishi wa Habari  Ofisini...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AMUAPISHA GERALD MUSABILA KUSAYA KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais Dk. John Magufuli akimuapisha Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Machi 6, 2020.Picha na Ikulu








IKULU, Dar es Salaam
Rais Dk. John Magufuli, amemuapisha Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo katika iliyofanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Mkuu, Viongozi Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani