Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Magufuli: “ Ziara yangu ya kushtukiza Wizara ya Fedha, imenisaidia kujua changamoto zinazoikabili wizara hii”

IMG_5422

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiambatana na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.  Servacius Likwelile alipotembelea ofisi za Wizara ya Fedha.

IMG_5434

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipata ufafanuzi kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.  Servacius Likwelile wakati wa ziara hiyo.

IMG_5475

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  akiongea na uongozi wa Wizara ya Fedha.

Rais wa Jamhuri wa Muungano...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

HAPA KAZI TU: RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA ZIARA YA GHAFLA WIZARA YA FEDHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dk.John Pombe Magufuli akisani kitabu cha wageni baada ya kufika Wizara ya Fedha. ...Akikagua utendaji kazi wa wafanyakazi mbali mbali wizarani hapo. …

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Dk Magufuli afanya ziara ya kushtukuza kwenye wizara ya fedha na kukuta maofisa wengi ‘wamekacha’ kazini

12063128_1643793222525539_937422512_n

Siku moja baada ya kuapishwa kuwa Rais wa tano wa Tanzania, Dokta John Magufuli ameanza kuifanyia kazi kauli mbiu yake ya ‘Hapa Kazi Tu’, kwa kufanya ziara ya kushtukiza kwenye wizara ya fedha Ijumaa hii.

12063128_1643793222525539_937422512_n

Rais huyo amedaiwa kutembea kwa mguu kutoka ikulu hadi kwenye ofisi za wizara hiyo jijini Dar es Salaam.

10299753_459716437546849_1576084077_n

Hata hivyo kwakuwa hiyo ilikuwa ni ziara ya kushtukiza, maofisa wengi walikuwa nje ya ofisi wakipiga mishe mishe zingine.

20151106033935

Akiwa kwenye wizara hiyo, Dk Magufuli amekagua ofisi zote na...

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA ENEO LA UJENZI WA VIHENGE VYA KISASA SHNYANGA.

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya leo (08.06.2020) amefanya ziara ya kushtukiza kwenye eneo la ujenzi wa vihenge vya kisasa (silos) mjini Shinyanga na kuelezea kutoridhishwa na kasi ya ujenzi huo .
" Mkandarasi sijaridhishwa na kazi yako kuwa na kasi ndogo wakati serikali inahitaji mradi huu wa maghala ukamilike kwa wakati.Nataka uongeze idadi ya vibarua na mafundi ili spidi ya kazi iongezeke " alisema Kusaya
Katibu Mkuu huyo ameelekeza mkandarasi kuwa ataendelea kutembelea...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA AFYA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WATOTO NA WAZEE AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA HOSPITALI YA AMANA JIJINI DAR LEO.

Naibu waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Khamis Kigwangala akielekea katika hospitali ya Amana leo jijini Dar es Salaa mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph Magufuli.        Naibu waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na            Watoto, Dkt.  Khamis Kigwangala akizungumza na wauguzi aliowakuta katika          hospitali ya Amana leo alipotembelea katika hospitali hiyo jijini...

 

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli azuru Wizara ya Fedha

Rais mpya wa Tanzania John Magufuli leo amefanya ziara ya kushtukiza katika makao makuu ya Wizara ya Fedha siku moja tu baada yake kuapishwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli aibukia Wizara ya Fedha, akosa maofisa ofisini

Rais Dk John Magufuli leo amefanya ziara ya kushtukiza katika Wizara ya Fedha na kuwakosa ofisini maofisa wengi katika wizara hiyo.

 

9 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI ATINGA GHAFLA WIZARA YA FEDHA LEO

mg1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiambatana na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.  Servacius Likwelile alipotembelea ofisi za Wizara ya Fedha. mg2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipata ufafanuzi kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.  Servacius Likwelile wakati wa ziara hiyo.mg3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  akiongea na uongozi wa Wizara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani