Picha: Dk Magufuli afanya ziara ya kushtukuza kwenye wizara ya fedha na kukuta maofisa wengi ‘wamekacha’ kazini
Siku moja baada ya kuapishwa kuwa Rais wa tano wa Tanzania, Dokta John Magufuli ameanza kuifanyia kazi kauli mbiu yake ya ‘Hapa Kazi Tu’, kwa kufanya ziara ya kushtukiza kwenye wizara ya fedha Ijumaa hii.
Rais huyo amedaiwa kutembea kwa mguu kutoka ikulu hadi kwenye ofisi za wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
Hata hivyo kwakuwa hiyo ilikuwa ni ziara ya kushtukiza, maofisa wengi walikuwa nje ya ofisi wakipiga mishe mishe zingine.
Akiwa kwenye wizara hiyo, Dk Magufuli amekagua ofisi zote na...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLHAPA KAZI TU: RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA ZIARA YA GHAFLA WIZARA YA FEDHA
9 years ago
Mwananchi06 Nov
Magufuli aibukia Wizara ya Fedha, akosa maofisa ofisini
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
Dk. Magufuli: “ Ziara yangu ya kushtukiza Wizara ya Fedha, imenisaidia kujua changamoto zinazoikabili wizara hii”
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiambatana na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile alipotembelea ofisi za Wizara ya Fedha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipata ufafanuzi kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile wakati wa ziara hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na uongozi wa Wizara ya Fedha.
Rais wa Jamhuri wa Muungano...
9 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziWaziri wa Fedha afanya ziara kwenye bandari kavu ya kampuni ya THR jijini Dar leo
9 years ago
Bongo520 Nov
Picha: Lil Ommy wa Times FM afanya ziara kwenye redio za Afrika Kusini, aeleza alichojifunza
Mtangazaji wa kipindi cha The Playlist cha Times FM, Lil Ommy yupo jijini Johannesburg alikoenda kwenye ziara maalum kujifunza mambo yanayohusiana na redio.
Akiwa huko amezunguka kwenye vituo mbalimbali vya redio na TV vikiwemo vituo vya SABC. Amesema amejifunza mambo mengi kwenye redio na muziki.
“Jamaa wana promote zaidi muziki wao na lugha yao kwenye redio wanachanganya Zulu, wanapenda kujifunza Kiswahili, wanaichukulia kama lugha kubwa ya bara la Afrika ukiachana na Kiingereza kuwa...
11 years ago
Michuzibanda la Wizara ya Fedha.lavutia wengi maonesho ya sabasaba
9 years ago
Bongo528 Dec
Picha: MC Pilipili afanya kile wachekeshaji wengi wa Bongo wanaogopa kufanya mikoani
Sio Alikiba na Diamond Platnumz tu waliojaza nyomi kwa show zao za sikukuu ya Christmas.
Wakati wakali hao na wasanii wengine wa muziki wakiingiza mamilioni ya shilingi jijini Dar es Salaam, mchekeshaji maarufu, MC Pilipili alikuwa na show ya kwanza ya komedi mjini Dodoma na kuvuta nyomi la kufanya mtu.
Sio kitu cha kawaida kwa mchekeshaji wa Tanzania kuvutia umati mkubwa wa watu mkoani, tena kwenye ukumbi maarufu kwaajili ya show ya komedi tu.
Kwenye wikiendi iliyopita, mchekeshaji...