Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS MAGUFULI ATINGA MUHIMBILI GHAFLA, AONGEA NA WAGONJWA

Rais Dk. Magufuli akiingia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili leo. Rais Dk. Magufuli akiongea na wagonjwa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.John Pombe Magufuli leo amefanya ziara nyingine ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kujionea hali ya utoaji huduma kwa wagonjwa. Akiwa hospitalini hapo, Rais Magufuli alipata fursa ya kuongea na wagonjwa. Awali Rais Magufuli alifika katika Hospitali ya Agha Khan...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI ATINGA GHAFLA WIZARA YA FEDHA LEO

mg1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiambatana na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.  Servacius Likwelile alipotembelea ofisi za Wizara ya Fedha. mg2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipata ufafanuzi kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.  Servacius Likwelile wakati wa ziara hiyo.mg3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  akiongea na uongozi wa Wizara ya...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Magufuli aagiza fedha za hafla ya wabunge zipelekwe Muhimbili kununulia vitanda vya wagonjwa

Baada ya kulihutubia na kulizindua bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt JOHN POMBE MAGUFULI amehudhuria hafla fupi iliyoandaliwa kwa ajili ya wabunge katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma na kuagiza fedha zilizochangwa kwa ajili ya kugharamia hafla hiyo zipelekwe Katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kununulia vitanda vya wagonjwa.
Mheshimiwa Magufuli ametoa agizo hilo baada ya kupokea taarifa kuwa wadau mbalimbali wamechanga...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA FEDHA,ATINGA BANDARINI DAR GHAFLA

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, ametinga ghafla bandarini Dar es Salaam leo asubuhi baada ya wafanyabiashara kuanzisha tafrani ya kudai kucheleweshewa huduma. Waziri Mkuya alipofika bandarini hapo alikwenda hadi Mapato Hause baada ya  mawakala kuona kuwa wanacheleweshewa kupata huduma muhimu ambapo waliamua kulalamika kwake. Alipofika Mapato Hause, Waziri Mkuya alilalamikiwa kuwa mtandao mpya...

 

9 years ago

GPL

HAPA KAZI TU: RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA ZIARA YA GHAFLA WIZARA YA FEDHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dk.John Pombe Magufuli akisani kitabu cha wageni baada ya kufika Wizara ya Fedha. ...Akikagua utendaji kazi wa wafanyakazi mbali mbali wizarani hapo. …

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe augua ghafla, awahishwa Muhimbili

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe jana aliugua ghafla akiwa katika maandamano ya kumsindikiza mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho, Edward Lowassa baada ya kuchukua fomu za kugombea urais katika Tume ya Taifa Uchaguzi (NEC).

 

9 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI ATINGA OFISINI KWA WAZIRI MKUU MAJALIWA

 Rais  Dkt.John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe.  Majaliwa Kassim Majaliwa  wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo Novemba 26, 2015 na kuzungumza nae kwa takribani saa moja. Rais John Pombe Joseph Magufuli akitia saini  kitabu cha wageni wakati alipomtembelea Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa ofisini kwake jijini Dar es salaam leo Novemba 26, 2015  na kuzungumza nae kwa takribani saa mojaRais John Pombe Joseph Magufuli akiagana  na Waziri Mkuu...

 

9 years ago

Habarileo

Rais Magufuli asikika, MRI Muhimbili yatengamaa

MASHINE ya MRI iliyokuwa imeharibika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), sasa imeanza kufanya kazi baada ya kukamilika kwa matengenezo yake. Utengenezaji wa mashine hiyo ni utekelezaji wa amri ya Rais John Magufuli aliyoitoa kwa uongozi mpya wa MNH aliouteua, baada ya kutembelea hospitali hiyo hivi karibuni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani