Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS DKT MAGUFULI ATINGA OFISINI KWA WAZIRI MKUU MAJALIWA

 Rais  Dkt.John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe.  Majaliwa Kassim Majaliwa  wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo Novemba 26, 2015 na kuzungumza nae kwa takribani saa moja. Rais John Pombe Joseph Magufuli akitia saini  kitabu cha wageni wakati alipomtembelea Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa ofisini kwake jijini Dar es salaam leo Novemba 26, 2015  na kuzungumza nae kwa takribani saa mojaRais John Pombe Joseph Magufuli akiagana  na Waziri Mkuu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Rais Dkt. Magufuli, Waziri Mkuu Majaliwa, wamtembelea Makamu wa Rais, Mhe. Samia ofisini kwake Ikulu Dar

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, (kushoto) akizungumza na Makamu wake, Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, wakati Rais na Waziri Mkuu walipomtembelea Makamu Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Nov 30, 2015 kwa mazungumzo. (Picha na OMR).

2

3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli (kushoto) akiagana na  Makamu wake, Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI, WAZIRI MKUU MAJALIWA, WAMTEMBELEA MAKAMU WA RAIS, MHE. SAMIA OFISINI KWAKE IKULU JIJINI DAR.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, (kushoto) akizungumza na Makamu wake, Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, wakati Rais na Waziri Mkuu walipomtembelea Makamu Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Nov 30, 2015 kwa mazungumzo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli (kushoto) akiagana na  Makamu wake, Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa (kulia)...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Dk. John Pombe Magufuli alipotinga ofisini kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana!

 

IMGS3004 Rais John Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2015 na kuzungumza nae kwa takribani saa moja. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMGS3000 Rais John Magufuli akitia saini  kitabu cha wageni wakati alipomtembelea Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2015  na kuzungumza nao kwa takribani saa moja (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMGS3012  Rais John...

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ....: RAIS MAGUFULI AMTEUA MH. KASSIM MAJALIWA KWA NAFASI YA WAZIRI MKUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, amepeleka Bungeni jina la Mbunge wa Jimbo la Rwangwa, Mh. Kassim Majaliwa kwa kupigiwa kura na Wabunge ili kuwa Warizi Mkuu wa Tanzania.

 

9 years ago

Michuzi

SHIWATA kugawa nyumba 14 Mkuranga, yampongeza Dkt. Magufuli kumteua Majaliwa Waziri Mkuu

 MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA)umeandaa mkutano wa wanachama wake Jumamosi kutangaza majina ya wanachama watakaokabidhiwa nyumba 13 na misingi ya nyumba 14 katika kijiji cha Mwanzega, Mkuranga.

Mwenyekiti wa SHIWATA,Cassim Taalib alisema jana Dar es Salaam jana kuwa mkutano huoutakaofanyika Ilala, Bungoni Dar es Salaam kuanzia saa 4 pia watatangazwa viongozi watakaoshika nafasi za uongozi zilizo wazi.

Nafasi za uongozi zilizo wazi ni Makamu Mwenyekiti iliyokuwa ikishikiliwa na ...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIPOKUWA AKITETA JAMBO NA WAZIRI WAA FEDHA NA MIPANGO DKT MANGO BUNGENI



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 30, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA ASAFIRI KWA GARI TOKA DODOMA KWENDA DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa na mkewe Mama Mary Majaliwa wakisalimiana na viongozi wa mkoa wa Morogoro wakati waliposimama kwa muda mjini  Morogoro wakiwa njiani kuelekea Dar es salaam wakitoka Dodoma kwa gari leo Novemba 22, 2015. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajabu Rutengwe (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli amteua Majaliwa kuwa waziri mkuu

Rais wa Tanzania John Magufuli amemteua mbunge wa Ruangwa Majaliwa Kassim Majaliwa kuwa waziri mkuu mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani