Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli amteua Majaliwa kuwa waziri mkuu

Rais wa Tanzania John Magufuli amemteua mbunge wa Ruangwa Majaliwa Kassim Majaliwa kuwa waziri mkuu mpya.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

JPM amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

Rais John Magufuli leo amewasilisha bungeni jina la Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya tano.

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ....: RAIS MAGUFULI AMTEUA MH. KASSIM MAJALIWA KWA NAFASI YA WAZIRI MKUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, amepeleka Bungeni jina la Mbunge wa Jimbo la Rwangwa, Mh. Kassim Majaliwa kwa kupigiwa kura na Wabunge ili kuwa Warizi Mkuu wa Tanzania.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AMREJESHA MWINGULU NCHEMBA KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI, AMTEUA LEO KUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA


Ikulu, ChatoRais Dk. John Magufuli amemrejesha kwenye Baraza lake la Mawaziri Mbunge wa Iramba Magharibi Dk. Mwigulu Lameck Nchemba (Pichani) kwa kumteua kuwa Waziri wa Katiba na Sheria.

Taarifa iliyotolewa jioni hii na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, imesema  uteuzi wa Dk. Mwigulu Lameck Nchemba unaanza leo tarehe 02 Mei, 2020.
"Dk. Mwigulu Lameck Nchemba anachukua nafasi ya Balozi Dk. Augustine Philip Mahiga aliyefariki dunia jana tarehe 01 Mei, 2020", imesema taarifa hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS: Kassim Majaliwa ateuliwa na Rais kuwa Waziri Mkuu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli ametegua kitendawili cha nani kuwa waziri mkuu kwa kumteua Mbunge wa Rwangwa Kassim Majaliwa kuchukua nafasi hiyo kubwa serikalini.

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ.....: MH. KASSIM MAJALIWA APITISHWA KUWA WAZIRI MKUU WA TANZANIA

Waziri Mkuu mpya Mh. Kassim Majaliwa.
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, muda mfupi uliopita limepitisha jina la Mbunge wa Jimbo la Rwangwa, Mh. Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Serikali ya awamu ya tano baada ya jina lake kupelekwa Bungeni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Mh. Majaliwa amepitishwa kwa kura 258 sawa na asilimia 73.5% ya kura zote za ndio.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani