Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS DK. MAGUFULI AMREJESHA MWINGULU NCHEMBA KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI, AMTEUA LEO KUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA


Ikulu, ChatoRais Dk. John Magufuli amemrejesha kwenye Baraza lake la Mawaziri Mbunge wa Iramba Magharibi Dk. Mwigulu Lameck Nchemba (Pichani) kwa kumteua kuwa Waziri wa Katiba na Sheria.

Taarifa iliyotolewa jioni hii na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, imesema  uteuzi wa Dk. Mwigulu Lameck Nchemba unaanza leo tarehe 02 Mei, 2020.
"Dk. Mwigulu Lameck Nchemba anachukua nafasi ya Balozi Dk. Augustine Philip Mahiga aliyefariki dunia jana tarehe 01 Mei, 2020", imesema taarifa hiyo.

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AMUAPISHA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA KUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA. CHATO MKOANI GEITA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Mei 03, 2020.Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , ,...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI LEO CHAMWINO – DODOMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino. Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri wote, Manaibu Mawaziri pamoja na Viongozi wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama. Chamwino Dodoma. Machi 24, 2020.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais Dk. John Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu  Jijini Dar es Salaam, leo Machi 09, 2020

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI, IKULU YA CHAMWINO JIJINI DODOMA, LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipima joto la mwili kabla ya kuingia katika ukumbi wa Baraza la Mawaziri kuongoza kikao cha Baraza hilo. Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri wote, Manaibu Mawaziri pamoja na Viongozi wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama. Chamwino Dodoma. Machi 24, 2020.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza...

 

9 years ago

Dewji Blog

JK amteua Thadeo Mwenempazi kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Sheria

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Thadeo Marko Mwenempazi kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Sheria.

Uteuzi wa Ndugu Mwenempazi umeanza tokea Jumatatu ya Agosti 24, mwaka huu, 2015.

Taarifa iliyotolewa leo, Ijumaa, Septemba 4, 2015 mjini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue imesema kuwa kabla ya uteuzi wake, Ndugu Mwenempazi alikuwa Wakili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani