Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Magufuli amteua Bw. Dunstan Kyobya kuwa DC Mtwara na Dkt. Magere kuwa RAS Pwani



Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Rais Dkt. Magufuli amteua Dkt. Tulia Mwansasu kuwa Mbunge

IMG-20151115-WA0072

Dkt. Tulia Mwansasu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli, leo asubuhi ametengua uteuzi wa Naibu Mwanasheria Mkuu, Dk Tulia Ackson Mwansasu na kumteua kuwa Mbunge.

Kwa mujibu wa Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Assah Mwambene, ameithibitisha kutenguliwa na kuteuliwa kwa Dk Tulia.

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Thomas Kashilila amekiri kupokea taarifa ya uteuzi wa Dk Tulia mapema leo asubuhi.

Awali kabla ya uteuzi huo, Dr Tulia alikuwa Naibu...

 

9 years ago

Michuzi

5 years ago

Michuzi

RC MTWARA AMUAPISHA DC MPYA DUNSTAN KYOBYA



……………………………………………………………..Mkuu wa mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa amemuapisha mkuu mpya wa wilaya ya Mtwara Dunstan Kyobya, ambae uteuzi wake umefanywa Mei 6 mwaka huu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli.
Moja ya maelekezo ya mkuu wa mkoa Byakanwa kwa mkuu mpya wa wilaya ya Mtwara ni Pamoja na kuendeleza ...

 

9 years ago

GPL

RAIS MAGUFULI AMTEUA DK TULIA ACKSON KUWA MBUNGE

Aliyekuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk Tulia Ackson Mwansasu. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli, leo asubuhi ametengua uteuzi wa Naibu Mwanasheria Mkuu, Dk Tulia Ackson Mwansasu na kumteua kuwa Mbunge. Kwa mujibu wa Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Assah Mwambene, ameithibitisha kutenguliwa na kuteuliwa kwa Dk Tulia. Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Thomas Kashilila...

 

9 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS: Rais Magufuli amteua Dk Tulia Mwansasu kuwa mbunge

RAIS wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli amemteua Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk Tulia Ackson Mwansasu kuwa mbunge katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS AMTEUA Dkt. James P. MATARAGIO KUWA MKURUGENZI MTENDAJI WA SHIRIKA LA MAENDELEO YA PETROLI (TPDC)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Dkt. James P. MATARAGIO kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).


Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue uteuzi huo ulianza tarehe 15 Desemba, 2014.

Dkt. James P. MATARAGIO ni Mtanzania ambaye hivi sasa anaishi na kufanya kazi nchini Marekani akiwa Senior Geoscientist wa Kampuni ya Bell Geospace, Houston, Marekani. Wasifu wake ni kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani