Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BREAKING NEWS: Rais Magufuli amteua Dk Tulia Mwansasu kuwa mbunge

RAIS wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli amemteua Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk Tulia Ackson Mwansasu kuwa mbunge katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

9 years ago

Dewji Blog

Rais Dkt. Magufuli amteua Dkt. Tulia Mwansasu kuwa Mbunge

IMG-20151115-WA0072

Dkt. Tulia Mwansasu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli, leo asubuhi ametengua uteuzi wa Naibu Mwanasheria Mkuu, Dk Tulia Ackson Mwansasu na kumteua kuwa Mbunge.

Kwa mujibu wa Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Assah Mwambene, ameithibitisha kutenguliwa na kuteuliwa kwa Dk Tulia.

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Thomas Kashilila amekiri kupokea taarifa ya uteuzi wa Dk Tulia mapema leo asubuhi.

Awali kabla ya uteuzi huo, Dr Tulia alikuwa Naibu...

 

9 years ago

GPL

RAIS MAGUFULI AMTEUA DK TULIA ACKSON KUWA MBUNGE

Aliyekuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk Tulia Ackson Mwansasu. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli, leo asubuhi ametengua uteuzi wa Naibu Mwanasheria Mkuu, Dk Tulia Ackson Mwansasu na kumteua kuwa Mbunge. Kwa mujibu wa Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Assah Mwambene, ameithibitisha kutenguliwa na kuteuliwa kwa Dk Tulia. Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Thomas Kashilila...

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ.....: DKT. TULIA ACKSON MWANSASU APITISHWA KUWA NAIBU SPIKA WA BUNGE

Dkt. Tulia Ackson Mwansasu
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limempitisha Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kuwa Naibu Spika wa Bunge, kwa kuta 250 sawa na 71.2% dhidi ya mpinzani wake, Mh. Magdalena Sakaya aliepata kura 101 sawa na 28.8%. 

 

9 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: NEC YAMTANGAZA DK. JOHN POMBE MAGUFULI KUWA RAIS MTEULE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Jaji Damian Lubuva amtangaza Dk. John Pombe Magufuli kuwa mshindi wa kiti cha urais baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu nchini kote na kumshinda mpinzania wake mkuu Ndugu Edwarld Lowasa aliyekuwa anagombea kwa tiketi ya Chadema kupitia muungano wa vyama vinne vya upinzani UKAWA, Dk John Pombe Magufuli ameshinda kwa kura 8.882.935 sawa na asilimia 58.46 huku Edwarld Lowasa akipata kura 6.072.848...

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ....: RAIS MAGUFULI AMTEUA MH. KASSIM MAJALIWA KWA NAFASI YA WAZIRI MKUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, amepeleka Bungeni jina la Mbunge wa Jimbo la Rwangwa, Mh. Kassim Majaliwa kwa kupigiwa kura na Wabunge ili kuwa Warizi Mkuu wa Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani