Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS MAGUFULI AMTEUA DKT. TULIA ACKSON MWANSASU KUWA MBUNGE

Dkt. Tulia Ackson Mwansasu.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Rais Dkt. Magufuli amteua Dkt. Tulia Mwansasu kuwa Mbunge

IMG-20151115-WA0072

Dkt. Tulia Mwansasu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli, leo asubuhi ametengua uteuzi wa Naibu Mwanasheria Mkuu, Dk Tulia Ackson Mwansasu na kumteua kuwa Mbunge.

Kwa mujibu wa Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Assah Mwambene, ameithibitisha kutenguliwa na kuteuliwa kwa Dk Tulia.

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Thomas Kashilila amekiri kupokea taarifa ya uteuzi wa Dk Tulia mapema leo asubuhi.

Awali kabla ya uteuzi huo, Dr Tulia alikuwa Naibu...

 

9 years ago

GPL

RAIS MAGUFULI AMTEUA DK TULIA ACKSON KUWA MBUNGE

Aliyekuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk Tulia Ackson Mwansasu. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli, leo asubuhi ametengua uteuzi wa Naibu Mwanasheria Mkuu, Dk Tulia Ackson Mwansasu na kumteua kuwa Mbunge. Kwa mujibu wa Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Assah Mwambene, ameithibitisha kutenguliwa na kuteuliwa kwa Dk Tulia. Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Thomas Kashilila...

 

9 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS: Rais Magufuli amteua Dk Tulia Mwansasu kuwa mbunge

RAIS wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli amemteua Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk Tulia Ackson Mwansasu kuwa mbunge katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ.....: DKT. TULIA ACKSON MWANSASU APITISHWA KUWA NAIBU SPIKA WA BUNGE

Dkt. Tulia Ackson Mwansasu
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limempitisha Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kuwa Naibu Spika wa Bunge, kwa kuta 250 sawa na 71.2% dhidi ya mpinzani wake, Mh. Magdalena Sakaya aliepata kura 101 sawa na 28.8%. 

 

9 years ago

Michuzi

Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson akutana na Rais wa Baraza la Maseneta la Jamhuri wa Burundi Mhe Reverien Ndikuriyo

Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson akisalimiana na Rais wa Baraza la Maseneta la Jamhuri wa Burundi Mhe Reverien Ndikuriyo aliyemtembelea leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson akisalimiana na Balozi wa Rwanda nchini Mhe Mhe. Prefere Ndayishimiye aliyesimama katikati ni Rais wa Baraza la Maseneta la Jamhuri wa Burundi Mhe Reverien Ndikuriyo. Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson akimsikiliza kwa umakini Rais wa Baraza la...

 

5 years ago

CCM Blog

NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AKIWASILI HOSPITALI KUMJULIA HALI MBOWE

Naibu Spika, Dkt Tulia Ackson akiwasili katika Hospitali ya DCMC Ntyuka kumjulia hali M/Kiti wa Chadema na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe aliyelazwa katika hospitali hiyo akipatiwa matibabu baada ya kuvamiwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana.
*****
Naibu Spika, Dk.Tulia Ackson  amemjulia hali Mwenyekiti Chadema, Freeman Mbowe katika Hospitali ya Ntyuka, Dodoma anakopatiwa matibabu  baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana na kisha kujeruhiwa na kuvunjwa mguu mmoja na kusema kuwa...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AWAFUTA MACHOZI MAMA LISHE NA ABIRIA JIJINI MBEYA

March 2, 2020 Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson ametimiza ahadi yake kwa kuwakabidhi Mama lishe wa Stendi kuu ya mabasi Mbeya jiji vitendea kazi maalum vya kutumia wakati wa kuhudumia wateja wao (Aprons) ambapo jumla ya vitendea kazi vimetolewa, pamoja na hilo Dkt. Tulia ametimiza pia ahadi ya kutoa TV ambayo itakuwa inawawezesha abiria wa kituo hicho kufuatilia matukio mbalimbali pamoja na habari wakati wakisubiri kusafiri.

“Siku ya leo hatujaja kutekeleza kila ahadi kwasababu hapa tuna machinga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani