Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Dkt. Magufuli amteua Dkt. Tulia Mwansasu kuwa Mbunge

IMG-20151115-WA0072

Dkt. Tulia Mwansasu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli, leo asubuhi ametengua uteuzi wa Naibu Mwanasheria Mkuu, Dk Tulia Ackson Mwansasu na kumteua kuwa Mbunge.

Kwa mujibu wa Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Assah Mwambene, ameithibitisha kutenguliwa na kuteuliwa kwa Dk Tulia.

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Thomas Kashilila amekiri kupokea taarifa ya uteuzi wa Dk Tulia mapema leo asubuhi.

Awali kabla ya uteuzi huo, Dr Tulia alikuwa Naibu...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

9 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS: Rais Magufuli amteua Dk Tulia Mwansasu kuwa mbunge

RAIS wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli amemteua Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk Tulia Ackson Mwansasu kuwa mbunge katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

9 years ago

GPL

RAIS MAGUFULI AMTEUA DK TULIA ACKSON KUWA MBUNGE

Aliyekuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk Tulia Ackson Mwansasu. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli, leo asubuhi ametengua uteuzi wa Naibu Mwanasheria Mkuu, Dk Tulia Ackson Mwansasu na kumteua kuwa Mbunge. Kwa mujibu wa Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Assah Mwambene, ameithibitisha kutenguliwa na kuteuliwa kwa Dk Tulia. Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Thomas Kashilila...

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ.....: DKT. TULIA ACKSON MWANSASU APITISHWA KUWA NAIBU SPIKA WA BUNGE

Dkt. Tulia Ackson Mwansasu
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limempitisha Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kuwa Naibu Spika wa Bunge, kwa kuta 250 sawa na 71.2% dhidi ya mpinzani wake, Mh. Magdalena Sakaya aliepata kura 101 sawa na 28.8%. 

 

9 years ago

Michuzi

DKT SHEIN AMNADI DKT MAGUFULI KISIWANI UNGUJA LEO,ASEMA ANATOSHA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Mgombea Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt Mohamed Shein akimnadi Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli mbele ya maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja,kisiwani Unguja jioni ya leo.

Dkt Shein emebainisha wazi kwenye mkutano huo wa kampeni kuwa Dkt Magufuli ni mtu sahihi na anatosha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,amesema kuwa iwapo...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AMUAPISHA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA KUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA. CHATO MKOANI GEITA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Mei 03, 2020.Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , ,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani