RAIS MAGUFULI AMTEUA KASSIM MAJALIWA KUWA WAZIRI MKUU
CCM Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZZ....: RAIS MAGUFULI AMTEUA MH. KASSIM MAJALIWA KWA NAFASI YA WAZIRI MKUU
9 years ago
Mwananchi19 Nov
JPM amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu
9 years ago
BBCSwahili19 Nov
Magufuli amteua Majaliwa kuwa waziri mkuu
9 years ago
Habarileo19 Nov
BREAKING NEWS: Kassim Majaliwa ateuliwa na Rais kuwa Waziri Mkuu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli ametegua kitendawili cha nani kuwa waziri mkuu kwa kumteua Mbunge wa Rwangwa Kassim Majaliwa kuchukua nafasi hiyo kubwa serikalini.
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
Rais Dk. John Pombe Magufuli alipotinga ofisini kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana!
Rais John Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2015 na kuzungumza nae kwa takribani saa moja. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Rais John Magufuli akitia saini kitabu cha wageni wakati alipomtembelea Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2015 na kuzungumza nao kwa takribani saa moja (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Rais John...
9 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZZ.....: MH. KASSIM MAJALIWA APITISHWA KUWA WAZIRI MKUU WA TANZANIA
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, muda mfupi uliopita limepitisha jina la Mbunge wa Jimbo la Rwangwa, Mh. Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Serikali ya awamu ya tano baada ya jina lake kupelekwa Bungeni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Mh. Majaliwa amepitishwa kwa kura 258 sawa na asilimia 73.5% ya kura zote za ndio.
9 years ago
CCM BlogPICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA
Mke wa waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa
9 years ago
Dewji Blog19 Nov
Breaking News: Waziri Mkuu mteule ni Kassim Majaliwa Kassim!
Kassim Majaliwa
Tayari dakika chache zilizopita kutoka ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dk, John Pombe Magufuli ametuma jina la Waziri Mkuu, ambaye ni Kassim Majaliwa aliyekuwa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Jina hilo limefikishwa kwa mbwembwe likiwa ndani ya bahasha tatu huku likiwa limeandikwa kwa mkono. Kwa hatua hiyo sasa Bunge limeenda mapumziko na dakika chache kutoka sasa litarejea kwa ajili ya kupigia kura na wabunge...
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA KWENYE MCHAPALO WA KUZINDUA BUNGE