RAIS AMTEUA Dkt. James P. MATARAGIO KUWA MKURUGENZI MTENDAJI WA SHIRIKA LA MAENDELEO YA PETROLI (TPDC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Dkt. James P. MATARAGIO kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).
Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue uteuzi huo ulianza tarehe 15 Desemba, 2014.Dkt. James P. MATARAGIO ni Mtanzania ambaye hivi sasa anaishi na kufanya kazi nchini Marekani akiwa Senior Geoscientist wa Kampuni ya Bell Geospace, Houston, Marekani. Wasifu wake ni kama...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo19 Dec
RAIS AMTEUA MKURUGENZI MTENDAJI WA SHIRIKA LA MAENDELEO YA PETROLI (TPDC)
![](https://media.licdn.com/media/p/5/005/093/0fa/1337f21.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Dkt. James P. MATARAGIO kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).
Kulingana na, Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue uteuzi huo ulianza tarehe 15 Desemba, 2014.Dkt. James P. MATARAGIO ni Mtanzania ambaye hivi sasa anaishi na kufanya kazi nchini Marekaniakiwa Senior Geoscientist wa Kampuni ya Bell Geospace, Houston, Marekani. Wasifu wake ni...
10 years ago
Dewji Blog19 Dec
Rais amteua Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Dkt. James P. MATARAGIO kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).
Kulingana na, Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue uteuzi huo ulianza tarehe 15 Desemba, 2014.
Dkt. James P. MATARAGIO ni Mtanzania ambaye hivi sasa anaishi na kufanya kazi nchini Marekani akiwa Senior Geoscientist wa Kampuni ya Bell Geospace, Houston, Marekani. Wasifu wake ni kama...
10 years ago
VijimamboTANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA MWAKA WA GE OIL & GAS, FLORENCE ITALY WAZIRI WA NISHATI NA MADINI GEORGE SIMBACHAWENE NA MKURUGENZI WA TPDC JAMES MATARAGIO WASHIRIKI
10 years ago
Dewji Blog07 Jul
JK amteua Laurean Bwanakunu kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bohari ya Dawa (MSD).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Laurean Rugambwa Bwanakunu (pichani) kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bohari ya Dawa (MSD).
Taarifa iliyotolewa Dar es salaam leo, Jumatatu, Julai 6, 2015 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Ndugu Bwanakunu unaanzia Juni 23, mwaka huu, 2015.
Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Bwanakunu alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Ariel Glaser Paediatric AIDS Healthcare Initiative.
Imetolewa...
11 years ago
Dewji Blog06 May
JK amteua Dkt Laurent M. Shirima kuwa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti na Ununuzi wa Umma (PPRA)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt Laurent M. Shirima kuwa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti na Ununuzi wa Umma (PPRA).
Dkt. Shirima ni Mkurugenzi wa kujenga Uwezo wa Huduma za Ushauri (Capacity Building and Advisory Service-PPRA) na pia ndiye anaye kaimu nafasi ya Mtendaji Mkuu wa PPRA.
Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Uteuzi huu umeanza tarehe 2 Mei, 2014.
Imetolewa na;
Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-WXLgzhM4WE8/VZL9rCCshxI/AAAAAAAHmA8/vIDth8eRrTk/s72-c/ngonyani.jpg)
Mhandisi Edwin Amandus Ngonyani ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (Stamico)
![](http://4.bp.blogspot.com/-WXLgzhM4WE8/VZL9rCCshxI/AAAAAAAHmA8/vIDth8eRrTk/s640/ngonyani.jpg)
9 years ago
Dewji Blog16 Nov
Rais Dkt. Magufuli amteua Dkt. Tulia Mwansasu kuwa Mbunge
Dkt. Tulia Mwansasu
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli, leo asubuhi ametengua uteuzi wa Naibu Mwanasheria Mkuu, Dk Tulia Ackson Mwansasu na kumteua kuwa Mbunge.
Kwa mujibu wa Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Assah Mwambene, ameithibitisha kutenguliwa na kuteuliwa kwa Dk Tulia.
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Thomas Kashilila amekiri kupokea taarifa ya uteuzi wa Dk Tulia mapema leo asubuhi.
Awali kabla ya uteuzi huo, Dr Tulia alikuwa Naibu...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-DbDSllT4TZk/XrLj7DKlQ8I/AAAAAAALpT8/m7fdCkUb_G4vWNPu9MYb3eLKzoXtfNyGwCLcBGAsYHQ/s72-c/Rais-Magufuli.jpg)
10 years ago
Dewji Blog06 Oct
Rais amteua Biswalo Mganga kuwa Mkurugenzi mpya wa Mashitaka
Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete (pichani) amemteua Bwana Biswalo Mganga kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) nchini.
Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar Es Salaam, leo, Jumatatu, Oktoba 6, 2014, na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Bwana Peter Ilomo imesema kuwa uteuzi huo umeanza Ijumaa iliyopita, Oktoba 3, mwaka huu, 2014.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana Mganga alikuwa Mkurugenzi Msaidizi, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka na Wakili wa Serikali...