Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mhandisi Edwin Amandus Ngonyani ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (Stamico)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mhandisi Edwin Amandus Ngonyani (pichani) kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (Stamico). Uteuzi huo umeanza Jumapili iliyopita, Juni 28, 2015. Taarifa ya kuthibitisha uteuzi huo iliyotolewa Ikulu, Dar es salaam na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) leo, Jumanne, Juni 30, 2015, inasema kuwa kabla ya uteuzi  wake Mhandisi Ngonyani alikuwa Mkaguzi Mkuu wa Migodi na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Edwin Ngonyani Mkurugenzi Mtendaji mpya wa STAMICO

Mkurugenzi2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mhandisi Edwin Amandus Ngonyani kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (Stamico). Uteuzi huo umeanza Jumapili iliyopita, Juni 28, 2015.

Taarifa ya kuthibitisha uteuzi huo iliyotolewa Ikulu, Dar es salaam na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) leo, Jumanne, Juni 30, 2015, inasema kuwa kabla ya uteuzi  wake Mhandisi Ngonyani alikuwa Mkaguzi Mkuu wa Migodi na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Stamico.

Mhandisi...

 

10 years ago

Michuzi

MHANDISI EDWIN NGONYANI ATEMBELEA MABANDA YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KWENYE MAONESHO YA UTUMISHI WA UMMA

????????????????????????????????????Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la  Madini la Taifa (STAMICO) Mhandisi  Edwin Ngonyani (kushoto) akisaini kitabu  cha wageni kwenye banda la Wizara ya Nishati na Madini.????????????????????????????????????Mtaalam kutoka Kituo cha Jimolojia Tanzania (TGC), Jumanne  Shimba ( wa kwanza kulia) akimwonesha Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la  Madini la Taifa (STAMICO) Mhandisi  Edwin Ngonyani (katikati)  moja ya  bidhaa zinazotengenezwa na  kituo hicho, kwenye  banda la Wizara ya Nishati na Madini????????????????????????????????????Afisa Uhusiano kutoka Wakala wa Ukaguzi wa...

 

9 years ago

Michuzi

MHANDISI RONALD LWAKATARE ATEULIWA KUWA KAIMU MTENDAJI MKUU WA WAKALA WA MABASI YAENDAYO HARAKA DAR ES SALAAM (DART).

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA - TAMISEMITAARIFA KWA UMMAWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb) kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 2(2) cha Amri ya kuanzisha Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), (The Executive Agencies) (The Dar Rapid Transit Agency) (Establishment) Order ) Tangazo la Serikali namba 120 la 2007, amemteua Mhandisi Ronald Lwakatare kuwa...

 

5 years ago

Michuzi

UTEUZI; MHANDISI TAMIMU TWAHA ATEULIWA KUWA MKURUGENZI WA MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA, MOROGORO

WAZIRI wa Maji, Prof. Makame Mbarawa (Mb) amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi  na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA).
Taarifa ya Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo imemtaja aliyeteuliwa kuwa ni Mhandisi Tamimu Twaha Katakweba. Aidha, kufuatia uteuzi huu Mhandisi Katakweba anakuwa Katibu wa Bodi ya Wakurugenzi wa MORUWASA.  
Uteuzi huu umefanyika chini ya Sheria Namba 5 ya Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira ya mwaka 2019.  Kitengo cha...

 

10 years ago

Vijimambo

SHIRIKA LA MADINI LA TAIFA (STAMICO), LAELEZEA MAFANIKIO YA MIRADI YAKE MBALIMBALI

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO),  Zena Kongoi.Kaimu Mkurugenzi Rasilimali Watu na Utawala wa STAMICO, Deusdedith Magala, akizungumza na wanahabari.
 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO),  Zena Kongoi (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, kwenye maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja kuhusu mafanikio yaliyofikiwa na shirika hilo katika miradi mbalimbali....

 

11 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA MADINI LA TAIFA (STAMICO) LAFUNGA UPOKEAJI WA MAOMBI YA NIA (EXPRESSION OF INTEREST)

Ndunguru-3SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) leo linafunga upokeaji wa maombi ya nia (expression of interest) ya makampuni yanayotaka kuingia ubia na STAMICO katika uendelezaji wa mradi uchimbaji makaa ya mawe na ufuaji umeme huko Kiwira.STAMICO ilitangaza mwezi uliopita kukaribisha maombi hayo yatakayowezesha ubia huo kupata fedha za kughramia mradi kwa asilimia 100 na kushiriki kuendesha mradi huo. 
Makampuni yenye nia ya kuwekeza kwa ubia na STAMICO yalitakiwa kuwasilisha maelezo ya...

 

10 years ago

Vijimambo

KAIMU MKURUGENZI WA SHIRIKA LA STAMICO ATEMBELEA MABANDA YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KWENYE MAONESHO YA UTUMISHIO WA UMMA JIJINI DSM

Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Mhandisi Edwin Ngonyani (kushoto mwenye suti ya kijivu) akipata maelezo kutoka kwa mtaalam wa Wizara ya Nishati na Madini, Habas Ngulilapi mara baada ya kuwasili kwenye banda hilo katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Mhandisi Edwin Ngonyani (kushoto) akisaini kitabu cha wageni kwenye banda la Wizara ya...

 

10 years ago

Michuzi

KAIMU MKURUGENZI WA SHIRIKA LA STAMICO ATEMBELEA MABANDA YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KWENYE MAONESHO YA UTUMISHI WA UMMA JIJINI DAR

Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Mhandisi Edwin Ngonyani (kushoto mwenye suti ya kijivu) akipata maelezo kutoka kwa mtaalam wa Wizara ya Nishati na Madini, Habas Ngulilapi mara baada ya kuwasili kwenye banda hilo katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Mhandisi Edwin Ngonyani (kushoto) akisaini kitabu cha wageni kwenye banda la Wizara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani