Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UTEUZI; MHANDISI TAMIMU TWAHA ATEULIWA KUWA MKURUGENZI WA MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA, MOROGORO

WAZIRI wa Maji, Prof. Makame Mbarawa (Mb) amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi  na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA).
Taarifa ya Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo imemtaja aliyeteuliwa kuwa ni Mhandisi Tamimu Twaha Katakweba. Aidha, kufuatia uteuzi huu Mhandisi Katakweba anakuwa Katibu wa Bodi ya Wakurugenzi wa MORUWASA.  
Uteuzi huu umefanyika chini ya Sheria Namba 5 ya Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira ya mwaka 2019.  Kitengo cha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mhandisi Edwin Amandus Ngonyani ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (Stamico)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mhandisi Edwin Amandus Ngonyani (pichani) kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (Stamico). Uteuzi huo umeanza Jumapili iliyopita, Juni 28, 2015. Taarifa ya kuthibitisha uteuzi huo iliyotolewa Ikulu, Dar es salaam na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) leo, Jumanne, Juni 30, 2015, inasema kuwa kabla ya uteuzi  wake Mhandisi Ngonyani alikuwa Mkaguzi Mkuu wa Migodi na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa...

 

9 years ago

Vijimambo

JOYCE MSIRU, MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA)

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji sa na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWASA,Sharry Raymond akizungumza na wafanyakazi wa Mamlaka hiyo wakati wa utamburisho wa Mkurugenzi mpya wa MUWSA.Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA.
Mwenyekiti wa Bodi ya MUWSA,akizungumza.Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA,Sharry Raymond akimtamburisha Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka hiyo,Joyce...

 

9 years ago

Vijimambo

JOYCE MSIRU ,MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI.MUWSA

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji sa na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWASA,Sharry Raymond akizungumza na wafanyakazi wa Mamlaka hiyo wakati wa utamburisho wa Mkurugenzi mpya wa MUWSA.Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA.
Mwenyekiti wa Bodi ya MUWSA,akizungumza.Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA,Sharry Raymond akimtamburisha Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka hiyo,Joyce...

 

9 years ago

Michuzi

MHANDISI RONALD LWAKATARE ATEULIWA KUWA KAIMU MTENDAJI MKUU WA WAKALA WA MABASI YAENDAYO HARAKA DAR ES SALAAM (DART).

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA - TAMISEMITAARIFA KWA UMMAWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb) kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 2(2) cha Amri ya kuanzisha Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), (The Executive Agencies) (The Dar Rapid Transit Agency) (Establishment) Order ) Tangazo la Serikali namba 120 la 2007, amemteua Mhandisi Ronald Lwakatare kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

MAKALA MAALUM MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MOSHI(MUWSA)

Imeandaliwa na Dixon Busagaga  wa Globu ya Jamii, Kanda ya Kaskazini

 

11 years ago

Michuzi

mnuso wa wafanyakazi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi

Mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi(MUWSA)Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza katika sherehe ya wajumbe wa bodi na wafanyakazi wa mamlaka hiyo. Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,Hajira Mmambe akizungumza na wafanyakazi wa mamlaka hiyo (Hawako pichani) Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,Elizabeth Minde akizungumza na wafanyakazi wa mamlaka...

 

10 years ago

Michuzi

WANAHABARI KILIMANJARO WATEMBELEA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MOSHI(MUWSA)


Mkurugenzi wa MUWSA,Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelezo kwa wanahabari kuhusu uchimbaji wa visima kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa maji katika vyanzo vyake.Mkurugenzi MUWSA,Mhandisi Cyprian Luhemeja akiwaonesha wanahabari Moja ya tanki lililopo eneo la CCP ambalo linatumika kuhifadhi maji.Mhandisi Luhemeja akionesha moja ya kisima kilichochimbwa katika eneo la matanki ya kuhifadhi maji ambacho pia kutasaidia kuongeza maji katika matanki hayo kwa ajili ya matumizi. 
Kwa picha zaidi...

 

10 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA) YATEKELEZA MIRADI YAKE

MAKALA MAALUMU YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA) .KUONESHA UTEKELEZAJI WA MIRADI MBALIMBALI YA MAJI PAMOJA NA JITIHADA ZA MAMLAKA HIYO KATIKA KUHAKIKISHA INAFIKISHA HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA MJI WA MOSHI NA MAENEO JIRANI INAYO HUDUMIA KWA MUDA WA SAA 24.
Video ya Makala haya imeandaliwa na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani