MHANDISI RONALD LWAKATARE ATEULIWA KUWA KAIMU MTENDAJI MKUU WA WAKALA WA MABASI YAENDAYO HARAKA DAR ES SALAAM (DART).
![](http://3.bp.blogspot.com/--NiBtr1OtG0/Vou5wGw3llI/AAAAAAAIQlY/8uy_HzjrUsc/s72-c/New%2BPicture.png)
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA - TAMISEMITAARIFA KWA UMMAWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb) kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 2(2) cha Amri ya kuanzisha Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), (The Executive Agencies) (The Dar Rapid Transit Agency) (Establishment) Order ) Tangazo la Serikali namba 120 la 2007, amemteua Mhandisi Ronald Lwakatare kuwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Mh. Simbachawene amteua Mhandisi Ronald Lwakatare kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa DART
Mhandisi Ronald Lwakatare.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb) kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 2(2) cha Amri ya kuanzisha Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), (The Executive Agencies) (The Dar Rapid Transit Agency) (Establishment) Order ) Tangazo la Serikali namba 120 la 2007, amemteua Mhandisi Ronald Lwakatare kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es salaam (DART)...
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Lwakatare ateuliwa kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu Mabasi ya DRT
Mabasi yendayo haraka Dar.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Simbachawene.
TAARIFA KWA UMMA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb) kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 2(2) cha Amri ya kuanzisha Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), (The Executive Agencies) (The Dar Rapid Transit Agency) (Establishment) Order ) Tangazo la Serikali namba 120 la 2007,...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-yJAGhtU4gAs/Vf6bOiCejDI/AAAAAAAH6Rk/QXlbDbF8TM8/s72-c/unnamed%2B%252812%2529.jpg)
Mabasi 138 ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) yawasili bandarini Dar es salaam
9 years ago
MillardAyo20 Dec
Jingine jipya la Waziri mkuu Majaliwa kwenye mabasi yaendayo Haraka Dar es salaam
December 19 2015 Waziri mkuu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa alifanya ziara nyingine kutazama walikofikia wanaomalizia ujezi wa mradi wa mabasi yaendayo haraka Dar es salaam, tazama hii video hapa chini nimekuwekea kila kitu.
The post Jingine jipya la Waziri mkuu Majaliwa kwenye mabasi yaendayo Haraka Dar es salaam appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Michuzisehemu ya mradi wa mabasi yaendayo haraka Dar es salaam - UDART
Picha zote na Abraham Nyantori - MAELEZO
10 years ago
MichuziDART YARIDHISHWA MAENDELEO YA MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-vLCpxRBQ5XE/VnVFu7HMa_I/AAAAAAAINYo/vgUXJFmOqOQ/s72-c/IMG_8767.jpg)
MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (DART) KUANZA JANUARI 10, 2016.
Pia Majaliwa amewaagiza watendaji wizara ya Tamisemi ambao ni wamiliki wa mradi huo kusimamia vyema ili uanze kufanya kazi kama ilivyo pangwa kwa kuwa mabasi 120 yalishawasili jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu ameanza kwa kukagua vituo vya mradi huo kuanzia cha Feri, Jangwani,...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-HmXdoCCQSJY/VdTiT7yJnqI/AAAAAAAHyVM/X1ENKV_jyRM/s72-c/unnamed%2B%252827%2529.jpg)
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA DART.
![](http://1.bp.blogspot.com/-HmXdoCCQSJY/VdTiT7yJnqI/AAAAAAAHyVM/X1ENKV_jyRM/s640/unnamed%2B%252827%2529.jpg)
1. Ati ni ya Kichina
2. Milango ya kushukia na kupandia Abiria Iko kushoto hivyo hayaendani na Miundombinu iliyojengwa.
HUO NI UZUSHI WENYE LENGO LA KUWAPOTOSHA WATANZANI WALIOCHOSHWA NA MSONGAMANO UNAOONGEZEKA SIKU HADI SIKU
TAARIFA SAHIHI KUTOKA KWENYE MAMLAKA HUSIKA HII HAPA:
1. Kiwanda Kilicho Assemble (Kuunganisha) Mabasi haya kinaitwa Golden Dragon cha China.
2. Aina ya...