Rais amteua Biswalo Mganga kuwa Mkurugenzi mpya wa Mashitaka
Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete (pichani) amemteua Bwana Biswalo Mganga kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) nchini.
Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar Es Salaam, leo, Jumatatu, Oktoba 6, 2014, na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Bwana Peter Ilomo imesema kuwa uteuzi huo umeanza Ijumaa iliyopita, Oktoba 3, mwaka huu, 2014.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana Mganga alikuwa Mkurugenzi Msaidizi, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka na Wakili wa Serikali...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi06 Oct
Biswalo Mganga ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka mpya
Imetolewa...
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Biswalo Mganga DPP mpya
RAIS wa Jakaya Kikwete, amemteua Biswalo Mganga kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) . Taarifa iliyotolewa Ikulu jijini Dar es Salaam jana na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais kwa vyombo...
10 years ago
Mwananchi07 Oct
Biswalo Mganga awa DPP mpya
10 years ago
Dewji Blog13 May
Rais Kikwete amteua Diwani Msuya kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya (pichani), kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).
Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Robert S. Manumba ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-8uP3QuvEEOw/VVICTQmhiFI/AAAAAAAHW2U/DvrwQjt4GpE/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-05-12%2Bat%2B4.36.49%2BPM.png)
Rais Kikwete amteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai, pia amteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola kuongoza Idara ya Intelijensia ya Jinai
![](http://1.bp.blogspot.com/-8uP3QuvEEOw/VVICTQmhiFI/AAAAAAAHW2U/DvrwQjt4GpE/s640/Screen%2BShot%2B2015-05-12%2Bat%2B4.36.49%2BPM.png)
Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Robert S. Manumba ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...
10 years ago
Michuzi19 Dec
RAIS AMTEUA Dkt. James P. MATARAGIO KUWA MKURUGENZI MTENDAJI WA SHIRIKA LA MAENDELEO YA PETROLI (TPDC)
Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue uteuzi huo ulianza tarehe 15 Desemba, 2014.Dkt. James P. MATARAGIO ni Mtanzania ambaye hivi sasa anaishi na kufanya kazi nchini Marekani akiwa Senior Geoscientist wa Kampuni ya Bell Geospace, Houston, Marekani. Wasifu wake ni kama...
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Rais Kikwete amteua Profesa Assad kuwa CAG Mpya
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-G2YXJbs_Qzo/VKg6J8qHYyI/AAAAAAAG7D8/JfC_CISRVhQ/s72-c/0L7C3310.jpg)
Rais amteua George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpya
![](http://3.bp.blogspot.com/-G2YXJbs_Qzo/VKg6J8qHYyI/AAAAAAAG7D8/JfC_CISRVhQ/s1600/0L7C3310.jpg)
Imetolewa na:Kurugenzi ya Mawasiliano...