Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEWZ ALERT: Rais Magufuli amteua Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria



Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AMREJESHA MWINGULU NCHEMBA KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI, AMTEUA LEO KUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA


Ikulu, ChatoRais Dk. John Magufuli amemrejesha kwenye Baraza lake la Mawaziri Mbunge wa Iramba Magharibi Dk. Mwigulu Lameck Nchemba (Pichani) kwa kumteua kuwa Waziri wa Katiba na Sheria.

Taarifa iliyotolewa jioni hii na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, imesema  uteuzi wa Dk. Mwigulu Lameck Nchemba unaanza leo tarehe 02 Mei, 2020.
"Dk. Mwigulu Lameck Nchemba anachukua nafasi ya Balozi Dk. Augustine Philip Mahiga aliyefariki dunia jana tarehe 01 Mei, 2020", imesema taarifa hiyo.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AMUAPISHA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA KUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA. CHATO MKOANI GEITA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Mei 03, 2020.Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , ,...

 

5 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT: Rais DKT Magufuli atangaza kifo cha Waziri Augustine Mahiga






Pichani ni aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga (Mbunge)  aliyefariki leo tarehe 01 Mei, 2020 Jijini Dodoma. 





 

9 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WAZIRI MWIGULU NCHEMBA ATUA MACHINJIO YA VINGUNGUTI USIKU, AKUTANA NA MADUDU YA KUTAFUNA KODI

Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi,Mh.Mwigulu Lameck Nchemba akisikiliza kero za wadau wa machinjio ya Vingunguti usiku  wa January 01/01/2016.Mwigulu Nchemba akishuhudia Ng'ombe aliyetayari kwa taratibu za kuchinjwa kwa ajili ya kitoweo.Mbuzi wakiwa tayari kwa ajili ya kuchinjwa kwenye machinjio hayo ya Vingunguti.Mbuzi hawa asilimia kubwa wanatoka mnada wa Pugu ambao Ushuru wake unakusanywa na serikali kuu.Waziri Mwigulu Nchemba akikagua maeneo ya machinjio hayo usiku huu.Mwigulu Nchemba...

 

5 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT: Rais Magufuli amjulia hali Mzee Mangula Hospitalini Muhimbili


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo tarehe 29 Februari, 2020 amemtembelea na kumjulia hali Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula ambaye amelazwa katika chumba cha uangalizi maalum katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.Ndg. Mangula aliugua ghafla jana na kisha kukimbizwa hospitali kwa matibabu.

 

9 years ago

Dewji Blog

JK amteua Thadeo Mwenempazi kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Sheria

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Thadeo Marko Mwenempazi kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Sheria.

Uteuzi wa Ndugu Mwenempazi umeanza tokea Jumatatu ya Agosti 24, mwaka huu, 2015.

Taarifa iliyotolewa leo, Ijumaa, Septemba 4, 2015 mjini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue imesema kuwa kabla ya uteuzi wake, Ndugu Mwenempazi alikuwa Wakili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani