Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BREAKING NYUZZZZ......: RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA KATIBU MKUU WIZARA YA UCHUKUZI, AVUNJA BODI YA MAMLAKA YA BANDARI (TPA) LEO

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amevunja bodi ya Mamlaka ya Bandari nchini (TPA) pamoja na kutengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Shaaban Mwinjaka, Mwenyekiti wa Bodi ya Bandari Profesa Joseph Msambichaka pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bandari, Awadh Massawe.
Kuvunjwa kwa bodi hiyo kunatokana na utendaji mbovu wa Mamlaka hiyo kwa muda mrefu na kitendo cha kutokuchukua hatua katika vyanzo husika.
Akizungumza  na waandishi wa Habari  Ofisini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI, MWINJAKA AZINDUA BODI (RAHCO).

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI, DKT SHAABAN MWINJAKA AZINDUA BODI YA KAMPUNI YA MILIKI YA RASILIMALI ZA RELI (RAHCO), KWA NIABA YA WAZIRI WA UCHUKUZI, LEO ASUBUHI  Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka akitoa maelekezo kwa Niaba ya Waziri wa Uchukuzi, kwa Wakurugenzi wa Bodi ya Kampuni Miliki ya Rasilimali za Reli (RAHCO), leo asubuhi wakati akizindua bodi hiyo katika ofisi za Wizara ya Uchukuzi. Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka (katikati)...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UCHUKUZI ARIDHISHWA NA MAENDLEO YA UJENZI WA JENGO JIPYA LA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA)

 Waziri wa Uchukuzi, Samweli Sitta (wa pili kutoka kulia) akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Awadh Massawe, wakati akitoa maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa jengo jipya la Mamlaka hiyo leo mchana. Wa kwanza Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Shaaban Mwinjaka. Mbunifu majenzi  kutoka kampuni ya K &M Acrplans (T) ltd, ambao ndio washauri wa ujenzi wa Jengo hilo, Arch. Albert Mwambafu, akitoa maelezo kwa Waziri wa Uchukuzi, Samuel...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI, DKT. SHAABAN MWINJAKA AZUNGUMZA NA UONGOZI WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA)

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka, akiongea na watumishi kutoka Ofisi mbalimbali za Serikali wanaofanya kazi Kwenye Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA),, mwishoni mwa wiki.  Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka (wa nne kutoka kulia mstari wa kwanza), akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA) na watuumishi wa Serikali wanaotoka kwenye ofisi mbalimbali za Serikali wanaofanya kazi...

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ....: RAIS MAGUFULI AMTEUA MH. KASSIM MAJALIWA KWA NAFASI YA WAZIRI MKUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, amepeleka Bungeni jina la Mbunge wa Jimbo la Rwangwa, Mh. Kassim Majaliwa kwa kupigiwa kura na Wabunge ili kuwa Warizi Mkuu wa Tanzania.

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Dkt. Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Dkt. Edward Hoseah

Hosea

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Dkt. Edward Hoseah (pichani) kutokana na kutorishwa na namna taasisi hiyo ilivyokua ikitekeleza wajibu wake katika kukabiliana na rushwa hususani kwenye upotevu wa mapato ya serikali katika bandari ya Dar es salaam.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema kufuatia kutenguliwa kwa uteuzi huo, Rais Magufuli amemteua aliyekuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani