Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Dkt. Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Dkt. Edward Hoseah

Hosea

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Dkt. Edward Hoseah (pichani) kutokana na kutorishwa na namna taasisi hiyo ilivyokua ikitekeleza wajibu wake katika kukabiliana na rushwa hususani kwenye upotevu wa mapato ya serikali katika bandari ya Dar es salaam.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema kufuatia kutenguliwa kwa uteuzi huo, Rais Magufuli amemteua aliyekuwa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mkurugenzi TAKUKURU Dkt. Edward Hoseah asema miaka 10 ya JK imepambana na rushwa kwa kiasi kikubwa

 Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru nchini, Dkt. Edward Hoseah akizungumza katika sherehe za uzinduzi wa jengo la ofisi mpya ya TAKUKURU Mkoa wa Mbeya ambapo amesema kuwa Taasisi  hiyo imeweza kufanikiwa  kupambana na rushwa kwa kiasi kikubwa  ambapo jumla  kesi kubwa za rushwa 1,993 kuanzia mwaka 2004-2015 zimeweza kufunguliwa ambazo ni sawa na ongezeko la asilimia 81 ikilinganishwa na kesi 384 zilizokuwepo miaka 10 ilioyopita (1995-2004).

 Amesema, ongezeko hilo la kesi kubwa limetokana na...

 

9 years ago

Vijimambo

MKURUGENZI TAKUKURU DKT EDWARD HOSEAH ASEMA MIAKA KUMI YA JK IMEPAMBANA NA RUSHWA KWA KIASI KIKUBWA

Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru nchini, Dkt. Edward Hoseah akizungumza katika sherehe za uzinduzi wa jengo la ofisi mpya ya TAKUKURU Mkoa wa Mbeya ambapo amesema kuwa Taasisi hiyo imeweza kufanikiwa kupambana na rushwa kwa kiasi kikubwa ambapo jumla kesi kubwa za rushwa 1,993 kuanzia mwaka 2004-2015 zimeweza kufunguliwa ambazo ni sawa na ongezeko la asilimia 81 ikilinganishwa na kesi 384 zilizokuwepo miaka 10 ilioyopita (1995-2004) Amesema ,ongezeko hilo la kesi kubwa limetokana na jitihada...

 

9 years ago

Mwananchi

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Dk. Hoseah

Rais Dk. John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah kutokana na kutorishwa na namna taasisi hiyo ilivyokua ikitekeleza wajibu wake katika kukabiliana na rushwa hususani kwenye upotevu wa mapato ya serikali katika bandari ya Dar es salaam.

 

9 years ago

Bongo5

Magufuli amtimua kazi mkurugenzi wa Takukuru, Edward Hoseah

hose

20151216053633

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

CCM Blog

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA HOSEA TAKUKURU

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Dk. Edward Hosea na nafasi hiyo itakaimiwa na aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bw. Valentino Mlowola

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani