Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu MSD Bwa.Laurean Bwanakunu,amteua Brig. Jen Mhidize kushika nafasi hiyo
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMKURUGENZI MKUU MPYA WA MSD BRIG. JEN MHIDIZE AWASILI OFISINI
Mkurugenzi Mkuu mpya wa MSD Brig. Jen. Dkt. Gabriel Sauli Mhidize amepokelewa ofisini kwake, Keko Dar es Salaam na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa MSD Bw. Laurean Bwanakunu.
Aidha Brig. Jen. Dkt. Gabriel Sauli Mhidize, amekutana na kuzungumza na Menejimenti ya Bohari ya Dawa (MSD).
Brig. Jen. Dkt. Gabriel Sauli Mhidize aliteuliwa tarehe 3 may,2020 na Rais John Magufuli kushika nafasi hiyo.
10 years ago
Dewji Blog07 Jul
JK amteua Laurean Bwanakunu kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bohari ya Dawa (MSD).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Laurean Rugambwa Bwanakunu (pichani) kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bohari ya Dawa (MSD).
Taarifa iliyotolewa Dar es salaam leo, Jumatatu, Julai 6, 2015 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Ndugu Bwanakunu unaanzia Juni 23, mwaka huu, 2015.
Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Bwanakunu alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Ariel Glaser Paediatric AIDS Healthcare Initiative.
Imetolewa...
5 years ago
CCM Blog10 years ago
MichuziLaurean Rugambwa Bwanakunu ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bohari ya Dawa (MSD)
Taarifa iliyotolewa Dar es salaam leo, Jumatatu, Julai 6, 2015 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Ndugu Bwanakunu unaanzia Juni 23, mwaka huu, 2015.
Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Bwanakunu alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Ariel Glaser Paediatric AIDS Healthcare Initiative.
Imetolewa...
9 years ago
Michuzi5 years ago
CCM BlogRAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MPYA WA MKURUGENZI MKUU WA BOHARI YA DAWA (MSD)
Uteuzi wa Brig. Jen Dkt. Mhidize unaanza mara moja, leo tarehe 03 Mei, 2020.
Kabla ya uteuzi huo, Brig. Jen Dkt. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Lugalo Jijini Dar es Salaam.
Brig. Jen Dkt. Mhidize anachukua nafasi ya Bw. Laurean Rugambwa Bwanakunu ambaye...
9 years ago
Dewji Blog17 Dec
Rais Dkt. Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Dkt. Edward Hoseah
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Dkt. Edward Hoseah (pichani) kutokana na kutorishwa na namna taasisi hiyo ilivyokua ikitekeleza wajibu wake katika kukabiliana na rushwa hususani kwenye upotevu wa mapato ya serikali katika bandari ya Dar es salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema kufuatia kutenguliwa kwa uteuzi huo, Rais Magufuli amemteua aliyekuwa...
9 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZZ......: RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA KATIBU MKUU WIZARA YA UCHUKUZI, AVUNJA BODI YA MAMLAKA YA BANDARI (TPA) LEO
Kuvunjwa kwa bodi hiyo kunatokana na utendaji mbovu wa Mamlaka hiyo kwa muda mrefu na kitendo cha kutokuchukua hatua katika vyanzo husika.
Akizungumza na waandishi wa Habari Ofisini...
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Rais Magufuli atengua uteuzi wa Dk. Hosea
Dk. Edward Hosea.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa, Dk. Edward Hosea kuanzia leo kwa sababu yakutoridhishwa na utendaji wa taasisi hiyo.
Katika hatua nyingine Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, amesema, Rais John Pombe Magufuli ameagiza kusimamishwa kazi mara moja kwa watumishi wanne wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ambao walisafiri nje ya nchi licha ya Rais...