Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Laurean Rugambwa Bwanakunu ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bohari ya Dawa (MSD)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Laurean Rugambwa Bwanakunu (pichani) kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bohari ya Dawa (MSD). 

Taarifa iliyotolewa Dar es salaam leo, Jumatatu, Julai 6, 2015 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Ndugu Bwanakunu unaanzia Juni 23, mwaka huu, 2015. 
Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Bwanakunu alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Ariel Glaser Paediatric AIDS Healthcare Initiative.


 Imetolewa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

JK amteua Laurean Bwanakunu kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bohari ya Dawa (MSD).

5

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Laurean Rugambwa Bwanakunu (pichani) kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bohari ya Dawa (MSD).

Taarifa iliyotolewa Dar es salaam leo, Jumatatu, Julai 6, 2015 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Ndugu Bwanakunu unaanzia Juni 23, mwaka huu, 2015.

Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Bwanakunu alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Ariel Glaser Paediatric AIDS Healthcare Initiative.

Imetolewa...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MPYA WA MKURUGENZI MKUU WA BOHARI YA DAWA (MSD)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Brig. Jen Dkt. Gabriel Sauli Mhidize kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (Medical Stores Department - MSD).
Uteuzi wa Brig. Jen Dkt. Mhidize unaanza mara moja, leo tarehe 03 Mei, 2020.
Kabla ya uteuzi huo, Brig. Jen Dkt. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Lugalo Jijini Dar es Salaam.


Brig. Jen Dkt. Mhidize anachukua nafasi ya Bw. Laurean Rugambwa Bwanakunu ambaye...

 

10 years ago

Michuzi

KAIMU MKURUGENZI BOHARI YA DAWA (MSD), AZUNGUMZIA UFUNGUAJI MADUKA YAO KARIBU NA WANANCHI


 Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD), akimuelekeza jambo Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya (kulia), katika maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifwani (kushoto), akizungumza na John Chale kuhusu kazi mbalimbali zinazpfanywa na MSD baada ya kutembelea banda la MSD katika maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja mwishoni mwa wiki.Kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Mhandisi Edwin Amandus Ngonyani ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (Stamico)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mhandisi Edwin Amandus Ngonyani (pichani) kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (Stamico). Uteuzi huo umeanza Jumapili iliyopita, Juni 28, 2015. Taarifa ya kuthibitisha uteuzi huo iliyotolewa Ikulu, Dar es salaam na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) leo, Jumanne, Juni 30, 2015, inasema kuwa kabla ya uteuzi  wake Mhandisi Ngonyani alikuwa Mkaguzi Mkuu wa Migodi na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa...

 

11 years ago

Michuzi

MSD yatoa utaratibu wa manunuzi ya dawa ndani ya bohari ya dawa

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifwani (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa kwa Umma kuhusu utaratibu wa manunuzi ndani ya bohari ya dawa. Kulia ni Mkurugenzi wa Manunuzi wa MSD, Heri Mchunga na Mwanasheria, Domonica Meena.

 

10 years ago

Michuzi

BOHARI YA DAWA (MSD) YAELEZEA MIPANGO YAKE YA KAZI

 Kaimu Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja na Shughuli za Kanda wa Bohari ya Dawa (MSD),  Edward Terry (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ukumbi wa Idara Habari Maelezo jijini Dar es Salaam mipango ya MSD na mambo mengine. Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa MSD, Etty Kusiluka. Etty Kusiluka akitoa ufafanuzi wa masuala kadhaa. Mkutano na wanahabari ukiendelea.
Dotto Mwaibale
WASIMAMIZI  wa vituo vya afya, zahanati, hospitali za wilaya, mkoa na hospitali za rufaaa wametakiwa...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA BOHARI YA DAWA MSD

  Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa, Cosmas Mwaifwani (kulia), akimuelekeza jambo Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akitembelea Bohari hiyo iliyopo Keko jijini Dar es Salaam.Wengine ni viongozi wa MSD na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA)Ofisa Mauzo Mwandamizi wa MSD, Yona Msengi (katikati), akimuonesha Mke wa Rais Mama Salma Kikwete vitu mbalimbali vinavyouzwa na MSD. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa MSD, Cosmas Mwaifwani. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, akizungumza na wafanyakazi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani