Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MPYA WA MKURUGENZI MKUU WA BOHARI YA DAWA (MSD)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Brig. Jen Dkt. Gabriel Sauli Mhidize kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (Medical Stores Department - MSD).
Uteuzi wa Brig. Jen Dkt. Mhidize unaanza mara moja, leo tarehe 03 Mei, 2020.
Kabla ya uteuzi huo, Brig. Jen Dkt. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Lugalo Jijini Dar es Salaam.


Brig. Jen Dkt. Mhidize anachukua nafasi ya Bw. Laurean Rugambwa Bwanakunu ambaye...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

JK amteua Laurean Bwanakunu kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bohari ya Dawa (MSD).

5

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Laurean Rugambwa Bwanakunu (pichani) kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bohari ya Dawa (MSD).

Taarifa iliyotolewa Dar es salaam leo, Jumatatu, Julai 6, 2015 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Ndugu Bwanakunu unaanzia Juni 23, mwaka huu, 2015.

Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Bwanakunu alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Ariel Glaser Paediatric AIDS Healthcare Initiative.

Imetolewa...

 

10 years ago

Michuzi

Laurean Rugambwa Bwanakunu ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bohari ya Dawa (MSD)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Laurean Rugambwa Bwanakunu (pichani) kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bohari ya Dawa (MSD). 

Taarifa iliyotolewa Dar es salaam leo, Jumatatu, Julai 6, 2015 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Ndugu Bwanakunu unaanzia Juni 23, mwaka huu, 2015. 
Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Bwanakunu alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Ariel Glaser Paediatric AIDS Healthcare Initiative.


 Imetolewa...

 

10 years ago

Michuzi

KAIMU MKURUGENZI BOHARI YA DAWA (MSD), AZUNGUMZIA UFUNGUAJI MADUKA YAO KARIBU NA WANANCHI


 Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD), akimuelekeza jambo Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya (kulia), katika maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifwani (kushoto), akizungumza na John Chale kuhusu kazi mbalimbali zinazpfanywa na MSD baada ya kutembelea banda la MSD katika maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja mwishoni mwa wiki.Kwa...

 

5 years ago

CCM Blog

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, SAID SADIKI AIPONGEZA BOHARI YA DAWA (MSD) KWA KUTOA HUDUMA BORA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick, ameitaka  Bohari ya Dawa MSD kuendeleza kasi ya huduma zake za kupambana na ugonjwa wa malaria kwakuwa ni  moja ya taasisi  zilizo mstari wa mbele kupunguza vifo vitokanavyo na ugonjwa huo.Akizungumza jana katika banda la MSD ikiwa ni maadhimisho ya siku ya Malaria duniani Sadick alisema MSD imekuwa ikifanya jitihada kuhakikisha ugonjwa wa malaria unakoma na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo vinapungua.Alisema jitihada hizo za MSD zimechangia...

 

10 years ago

GPL

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, SAID MECKY SADICK AIPONGEZA BOHARI YA DAWA (MSD) KWA KUTOA HUDUMA BORA‏

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akisaini kwenye kitabu cha wageni katika banda la Bohari ya Dawa (MSD), katika maonyesho ya kuadhimisha siku ya malaria yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana.  Ofisa wa Kitengo cha Udhibiti Ubora wa MSD, Richard Makalla (kulia), akimuelekeza jambo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki alipotembelea banda la MSD katika maadhimisho hayo. Kushoto ni Ofisa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani