Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Magufuli atengua uteuzi wa Dk. Hosea

hosea

Dk. Edward Hosea.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa, Dk. Edward Hosea kuanzia leo kwa sababu yakutoridhishwa na utendaji wa taasisi hiyo.

Katika hatua nyingine Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, amesema, Rais John Pombe Magufuli ameagiza kusimamishwa kazi mara moja kwa watumishi wanne wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ambao walisafiri nje ya nchi licha ya Rais...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CCM Blog

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA HOSEA TAKUKURU

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Dk. Edward Hosea na nafasi hiyo itakaimiwa na aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bw. Valentino Mlowola

 

9 years ago

Mwananchi

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Dk. Hoseah

Rais Dk. John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah kutokana na kutorishwa na namna taasisi hiyo ilivyokua ikitekeleza wajibu wake katika kukabiliana na rushwa hususani kwenye upotevu wa mapato ya serikali katika bandari ya Dar es salaam.

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ......: RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA KATIBU MKUU WIZARA YA UCHUKUZI, AVUNJA BODI YA MAMLAKA YA BANDARI (TPA) LEO

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amevunja bodi ya Mamlaka ya Bandari nchini (TPA) pamoja na kutengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Shaaban Mwinjaka, Mwenyekiti wa Bodi ya Bandari Profesa Joseph Msambichaka pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bandari, Awadh Massawe.
Kuvunjwa kwa bodi hiyo kunatokana na utendaji mbovu wa Mamlaka hiyo kwa muda mrefu na kitendo cha kutokuchukua hatua katika vyanzo husika.
Akizungumza  na waandishi wa Habari  Ofisini...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Dkt. Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Dkt. Edward Hoseah

Hosea

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Dkt. Edward Hoseah (pichani) kutokana na kutorishwa na namna taasisi hiyo ilivyokua ikitekeleza wajibu wake katika kukabiliana na rushwa hususani kwenye upotevu wa mapato ya serikali katika bandari ya Dar es salaam.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema kufuatia kutenguliwa kwa uteuzi huo, Rais Magufuli amemteua aliyekuwa...

 

11 years ago

Habarileo

JK atengua uteuzi Mawaziri wanne

RAIS Jakaya Kikwete, ametengua uteuzi wa Mawaziri wanne, akikubaliana na kilio cha Wabunge cha kuwawajibisha mawaziri hao kutokana na makovu mabaya yaliyotokana na Operesheni Tokomeza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani