Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKURUGENZI MKUU MPYA WA MSD BRIG. JEN MHIDIZE AWASILI OFISINI




Mkurugenzi Mkuu mpya wa MSD Brig. Jen. Dkt. Gabriel Sauli Mhidize amepokelewa ofisini kwake, Keko Dar es Salaam na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa MSD Bw. Laurean Bwanakunu.

Aidha Brig. Jen. Dkt. Gabriel Sauli Mhidize, amekutana na kuzungumza na Menejimenti ya Bohari ya Dawa (MSD).


Brig. Jen. Dkt. Gabriel Sauli Mhidize aliteuliwa tarehe 3 may,2020 na Rais John Magufuli kushika nafasi hiyo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MPYA WA MKURUGENZI MKUU WA BOHARI YA DAWA (MSD)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Brig. Jen Dkt. Gabriel Sauli Mhidize kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (Medical Stores Department - MSD).
Uteuzi wa Brig. Jen Dkt. Mhidize unaanza mara moja, leo tarehe 03 Mei, 2020.
Kabla ya uteuzi huo, Brig. Jen Dkt. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Lugalo Jijini Dar es Salaam.


Brig. Jen Dkt. Mhidize anachukua nafasi ya Bw. Laurean Rugambwa Bwanakunu ambaye...

 

10 years ago

Mwananchi

Mpigania ukombozi wa Afrika Brig Jen Mbita afariki dunia

Katibu mtendaji wa iliyokuwa Kamati ya Ukombozi Kusini mwa Afrika, Brigedia Jenerali Hashim Mbita (82), amefariki dunia jana saa tatu asubuhi katika Hospitali ya Jeshi, Lugalo, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

Viongozi mbalimbali nchini Msumbiji wamkumbuka Brig. Jen. Hashim Mbita

Kitabu cha maombolezo ya Marehemu, Brig. Jen. Hashim Mbita kwenye Ubalozi wa Tanzania, Maputo Msumbiji.Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Msumbiji, Mhe. Joaquim Chissano akiweka saini kitabu cha maombolezo ya Marehemu Brig, Jen. Hashim Mbita aliefariki dunia April 26, 2015.Rais msataafu wa awamu ya tatu wa Msumbiji, Mhe. Armando Guebuza akiweka saini kitabu cha maombolezo ya Marehemu Brig, Jen. Hashim Mbita aliefariki dunia April 26, 2015.Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Mh. Shamim Nyanduga...

 

11 years ago

Michuzi

Mkurugenzi Mkuu wa NHC Amtembelea Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Ofisini kwake

Mheshimiwa Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Ubalozi wa Tanzania uliopo Dubai, akiwa na mazungumzo na Ndugu Nehemiah Mchechu, Mkurugenzi Mkuu wa NHC , alipomtembelea Ofisini kwake Dubai.
Mazungumzo yao yalihusu maandalizi ya kongamano la uwekezaji katika sekta ya nyumba litakalofanyika Jumeirah Madnat Hotel, Dubai. Kongamano hilo limeandaliwa na Ubalozi Mdogo wa Tanzania uliopo Dubai kwa kushirikiana na Shirika la Taifa la Nyumba (NHC).
Makampuni makubwa ya sekta ya nyumba hapa Dubai...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU MKURUGENZI MKUU WA UNESCO AWASILI JIJINI ARUSHA KUSHIRIKI MAHAFALI TAASISI YA MANDELA

DSC_0499Ofisa mwandamizi wa habari na mahusiano ya umma wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela, Bw. Karimu Meshack (kushoto) akijadiliana jambo ndani chumba cha mapumziko cha wageni mashuhuri na Mwakilishi mkazi shirika la UNESCO nchini Bi. Zulmira Rodrigues pamoja na Afisa mipango kitaifa, kitengo cha Sayansi UNESCO,Tanzania, Gabriela Lucas kabla ya kuwasili kwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Getachew...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU MPYA ARDHI AKARIBISHWA RASMI OFISINI

Aliyekuwa Katibu mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw. Alphayo Kidata kwa sasa ni Kaimu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) akikabidhi baadhi ya nyaraka kwa Katibu Mkuu mpya wa Wizara hiyo Dkt. Yamungu Kayandabila wakati wa makabidhiano ya ofisi makao makuu ya wizara hiyo jijini Dar es salaam Jumatatu.
 Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw. Alphayo Kidata (wa pili kutoka kulia) ambaye kwa sasa ni Kaimu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato...

 

10 years ago

Michuzi

Mkurugenzi Mkuu mpya TCRA Dkt.Ally Yahaya Simba amtembelea Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo


 Mkurugenzi Mkuu mpya wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt.Ally Yahaya Simba(Kushoto) akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili ofisini kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akimueleza Dkt. Ally Yahaya Simba (Kushoto) umuhimu wa kuendelea kufanya kazi kwa pamoja kwa lengo la kukabiliana na changamoto zinazoikabili sekta ya mawasiliano,alipomtembelea leo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani