Mkurugenzi TAKUKURU Dkt. Edward Hoseah asema miaka 10 ya JK imepambana na rushwa kwa kiasi kikubwa
Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru nchini, Dkt. Edward Hoseah akizungumza katika sherehe za uzinduzi wa jengo la ofisi mpya ya TAKUKURU Mkoa wa Mbeya ambapo amesema kuwa Taasisi hiyo imeweza kufanikiwa kupambana na rushwa kwa kiasi kikubwa ambapo jumla kesi kubwa za rushwa 1,993 kuanzia mwaka 2004-2015 zimeweza kufunguliwa ambazo ni sawa na ongezeko la asilimia 81 ikilinganishwa na kesi 384 zilizokuwepo miaka 10 ilioyopita (1995-2004).
Amesema, ongezeko hilo la kesi kubwa limetokana na...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMKURUGENZI TAKUKURU DKT EDWARD HOSEAH ASEMA MIAKA KUMI YA JK IMEPAMBANA NA RUSHWA KWA KIASI KIKUBWA
9 years ago
Dewji Blog17 Dec
Rais Dkt. Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Dkt. Edward Hoseah
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Dkt. Edward Hoseah (pichani) kutokana na kutorishwa na namna taasisi hiyo ilivyokua ikitekeleza wajibu wake katika kukabiliana na rushwa hususani kwenye upotevu wa mapato ya serikali katika bandari ya Dar es salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema kufuatia kutenguliwa kwa uteuzi huo, Rais Magufuli amemteua aliyekuwa...
9 years ago
Bongo516 Dec
Magufuli amtimua kazi mkurugenzi wa Takukuru, Edward Hoseah
![hose](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/hose-300x194.jpg)
10 years ago
Mwananchi11 Feb
Dk Hoseah akiri Takukuru ‘kunuka’ rushwa
11 years ago
Mwananchi11 Jun
Kwa kiasi kikubwa Bunge letu linastahili lawama
9 years ago
StarTV05 Oct
Maendeleo duni ya elimu Jamii yadaiwa kuchangia kwa kiasi kikubwa
Sekta ya elimu wilayani Geita inakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazorudisha nyuma maendeleo ya sekta jamii ikidaiwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwa sababu ya kutokuwa na utayari wa kushirikiana na Serikali kuondoa mapungufu yaliyoko ndani ya uwezo wao.
Utafiti uliofanywa na shirika la Nelico kwa ufadhili wa Pestalozzi Children’s Foundation imebaini mazingira yasiyo rafiki kama ubovu wa miundombinu, ukosefu wa vyoo bora na upungufu wa madawati na vyoo bado kikwazo kikubwa ambacho...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GLDDPJXVlpk/Xs5vIx_5xWI/AAAAAAALrv4/maDgdDmF9zw9P3AG9yo1ponBdXtVikCagCLcBGAsYHQ/s72-c/213.jpg)
SMZA YAFAFANUA ILIVYOFANIKIWA KUKABILIANA KWA KIASI KIKUBWA NA CORONA,YATOA MAELEKEZO WIZARA YA ELIMU NA AFYA
9 years ago
Mtanzania17 Dec
Magufuli amng’oa Hoseah Takukuru
>> Aponzwa na ufisadi wa TRA, Bandari
>> Zuio safari za nje laanza kung’ata
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
RAIS Dk. John Magufuli, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah kwa kile alichodai mwenendo wa utendaji kazi wake hauendani na kasi yake anayoitaka.
Dk. Hoseah anakuwa kigogo wa 79 kutoka taasisi nne za umma ambao tayari wameonja machungu ya Serikali ya awamu ya tano na kaulimbiu yake ya ‘hapa kazi tu’.
Taarifa...
9 years ago
Habarileo17 Dec
Hoseah ang’olewa Takukuru
RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Dk Edward Hoseah. Aidha, ameamuru kusimamishwa kazi kwa watumishi waandamizi wanne wa taasisi hiyo kwa kukiuka maagizo yake.