Magufuli amng’oa Hoseah Takukuru
>> Aponzwa na ufisadi wa TRA, Bandari
>> Zuio safari za nje laanza kung’ata
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
RAIS Dk. John Magufuli, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah kwa kile alichodai mwenendo wa utendaji kazi wake hauendani na kasi yake anayoitaka.
Dk. Hoseah anakuwa kigogo wa 79 kutoka taasisi nne za umma ambao tayari wameonja machungu ya Serikali ya awamu ya tano na kaulimbiu yake ya ‘hapa kazi tu’.
Taarifa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo516 Dec
Magufuli amtimua kazi mkurugenzi wa Takukuru, Edward Hoseah
![hose](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/hose-300x194.jpg)
9 years ago
Dewji Blog17 Dec
Rais Dkt. Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Dkt. Edward Hoseah
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Dkt. Edward Hoseah (pichani) kutokana na kutorishwa na namna taasisi hiyo ilivyokua ikitekeleza wajibu wake katika kukabiliana na rushwa hususani kwenye upotevu wa mapato ya serikali katika bandari ya Dar es salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema kufuatia kutenguliwa kwa uteuzi huo, Rais Magufuli amemteua aliyekuwa...
9 years ago
Habarileo17 Dec
Hoseah ang’olewa Takukuru
RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Dk Edward Hoseah. Aidha, ameamuru kusimamishwa kazi kwa watumishi waandamizi wanne wa taasisi hiyo kwa kukiuka maagizo yake.
10 years ago
Mwananchi11 Feb
Dk Hoseah akiri Takukuru ‘kunuka’ rushwa
9 years ago
Dewji Blog06 Oct
Mkurugenzi TAKUKURU Dkt. Edward Hoseah asema miaka 10 ya JK imepambana na rushwa kwa kiasi kikubwa
Amesema, ongezeko hilo la kesi kubwa limetokana na...
9 years ago
VijimamboMKURUGENZI TAKUKURU DKT EDWARD HOSEAH ASEMA MIAKA KUMI YA JK IMEPAMBANA NA RUSHWA KWA KIASI KIKUBWA
9 years ago
Mwananchi16 Dec
Rais Magufuli atengua uteuzi wa Dk. Hoseah
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Rais Magufuli hajaridhishwa mapambano ya rushwa, kaigeukia TAKUKURU December 15
Bado Rais Magufuli anaendelea kuipanga Serikali ya awamu ya tano ili kuhakikisha mambo yanakuwa sawa kwenye utawala wake na kazi inakwenda. Tuhuma za rushwa na ubadhirifu zimekuwa nyingi, baada ya ishu ya makontena bandarini, ukwepaji kodi TRA, kaigeukia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU. Rais Magufuli amefanya mabadiliko Taasisi ya TAKUKURU na kutengua […]
The post Rais Magufuli hajaridhishwa mapambano ya rushwa, kaigeukia TAKUKURU December 15 appeared first on...
9 years ago
CCM Blog16 Dec
RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA HOSEA TAKUKURU