Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Rais’ John Pombe Magufuli: Kula pombe, bangi uokoe taifa

MASIKINI Dk.

Joseph Mihangwa

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Rais ni Dkt. John Pombe Magufuli

1x-1

Ni muda mfupi uliopita baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumtangaza rasmi Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt.John Pombe Magufuli aliyepata 58.46% dhidi ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa 39.97%.

Modewji blog inatoa pongezi kwa Mgombea mweza Mama Samia Suluhu Hassan kwa ushindi huo.

Happy Birthday to you…. Mheshimiwa Rais uwe na siku njema ikiwa leo pia unasheherekea siku...

 

9 years ago

GPL

RAIS MTEULE JOHN POMBE MAGUFULI KUAPISHWA LEO

Rais mteule, Dkt. John Magufuli anatarajiwa kuapishwa rasmi leo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. RAIS mteule, Dkt. John Magufuli anatarajiwa kuapishwa rasmi leo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sherehe zitakazofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru uliopo jijini Dar es Salaam. Kwa mara nyingine, Tanzania itakuwa inabadilisha uongozi wake wa juu kwa amani na utulivu tangu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius...

 

9 years ago

CCM Blog

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA HOSEA TAKUKURU

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Dk. Edward Hosea na nafasi hiyo itakaimiwa na aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bw. Valentino Mlowola

 

5 years ago

Michuzi

KINANA AMUOMBA RADHI RAIS.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI


Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi, Bw.Abdulrahaman Kinana amemuomba radhi Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli kwa matukio mbalimbali aliyoyafanya baada ya kuondoka katika uongozi wake.

Pamoja na hayo Kinana amewaomba radhi pia Watanzania na Wanachama wa CCM kwa vitendo alivyovifanya.

Kinana akiwa na baadhi ya viongozi wakongwe wa chama hicho walipewa adhabu baada ya mazungumzo yao ya simu kunaswa wakimteta Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa ambaye pia...

 

9 years ago

GPL

RAIS MTEULE JOHN POMBE MAGUFULI AKABIDHIWA CHETI CHA USHINDI

Rais mteule wa Tanzania John Pombe Magufuli akionesha cheti chake cha ushindi alichokabidhiwa. John Pombe Magufuli akiwa na mgombea mwenza wa CCM Samia Hassan Suluhu kabla ya kukabidhiwa cheti cha ushindi.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA NA KUVUNJA BUNGE LA 11 JIJINI DODOMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Bunge kabla ya kulivunja Bunge la 11 Jijini Dodoma. Kulia ni Spika wa Bunge, Job Ndugai Marais wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia hotuba ya kuvunjwa kwa Bunge la 11 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo kwenye picha) Jijini Dodoma. Kuanzia Kulia ni Rais wa awamu wa pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Rais wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa, Rais...

 

9 years ago

CCM Blog

RAIS WA AWAMU YA TANO YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DK. JOHN POMBE MAGUFULI

 Dk. John Pombe Magufuli akila kiapo cha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mbele ya Jaji Mkuu Mhe. Mohamed Chande Othman kwenye sherehe fupi zilizofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiinua mkuki na ngao juu mara baada ya kuapishwa kwenye uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATOA SALAMU ZA PONGEZI KWA RAIS MTEULE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANANIA,JOHN POMBE MAGUFULI

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARISalamu za pongezi kwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli zimeanza kumiminika nchini, za kwanza zikiwa zimetumwa na Rais  wa Rwanda, Mheshimiwa Paul Kagame na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Saharawi Mheshimiwa Mohammed Abdelaziz.
     Katika salamu zake kwa Rais Mteule Magufuli, Rais wa Rwanda Mheshimiwa Kagame amesema: “Kufuatia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani