Mwandosya aacha wosia
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Mark Mwandosya ameaga rasmi ubunge na kutoa wosia kwa mawaziri watakaoteuliwa katika Serikali ijayo, kuwa wasikivu kwa wabunge, ili taifa lifikie maendeleo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziJE WAJUA KUWA WOSIA WA MANENO NI WOSIA HALALI KISHERIA?
11 years ago
Mwananchi04 Feb
Wosia wa Mandela watangazwa
10 years ago
Habarileo26 Apr
Wosia wa Shekhe Karume
MTAZAMO na hisia za Muasisi wa Muungano na Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Shekhe Abeid Aman Karume katika Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, umewekwa hadharani na mmoja wa wanawe, ambaye kabla ya kifo cha baba yake, alikuwa Naibu Waziri wa Biashara.
11 years ago
Michuzi19 Feb
wosia wa baba wa taifa
10 years ago
Mtanzania30 May
Pinda atamani sheria ya wosia
Jonas Mushi na Adam Mkwepu, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema kuna haja ya kuwa na sheria itakayowezesha uandikishaji wosia kuwa wa lazima ili kuondokana na migogoro ya kugombania mali za marehemu na unyanyasaji wa wajane na watoto.
Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam jana, katika maadhimisho ya miaka 25 ya Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) na uzinduzi wa kampeni ya uandishi wa wosia.
Alisema migogoro hiyo kwa kiasi kikubwa inaathiri wanawake na watoto pindi wazazi...
11 years ago
GPLMBOTO ATOA WOSIA WA KIFO
11 years ago
GPLWOSIA WA GURUMO WAZUA UTATA
11 years ago
GPLWOSIA WA MANDELA WAZUA UTATA
9 years ago
GPLWOSIA KIFO CHA JOKATE