Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JE WAJUA KUWA WOSIA WA MANENO NI WOSIA HALALI KISHERIA?

Wosia ni jambo kati  ya  mambo  ambayo huwasumbua watu  wengi. Sababu ya kuwasumbua  wengi  ni  lile  lile tu  kuwa  ufahamu  wa  mambo ya sheria haujawa wa kutosha  katika jamii. Tatizo la wosia limepelekea magomvi  makubwa  ya kifamlia hasa wakati  wa  misiba au baada ya misiba. Pia  wakati  mwingine ni tatizo  hili hili ambalo  limewafanya baadhi ya  watu tena ndugu  kugombea maiti. Kama watu wanaelewa vyema  habari ya wosia  na  haki  za  kila mtu katika  wosia  sioni  haja  ya  ndugu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mwandosya aacha wosia

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark MwandosyaWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Mark Mwandosya ameaga rasmi ubunge na kutoa wosia kwa mawaziri watakaoteuliwa katika Serikali ijayo, kuwa wasikivu kwa wabunge, ili taifa lifikie maendeleo.

 

11 years ago

Mwananchi

Wosia wa Mandela watangazwa

Wosia wa aliyekuwa Rais wa Kwanza mzalendo wa Afrika Kusini, Nelson Mandela umesomwa huku mgawanyo wa mali zake ukielekezwa katika maeneo tofauti.

 

10 years ago

Habarileo

Wosia wa Shekhe Karume

Balozi Ali Karume.MTAZAMO na hisia za Muasisi wa Muungano na Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Shekhe Abeid Aman Karume katika Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, umewekwa hadharani na mmoja wa wanawe, ambaye kabla ya kifo cha baba yake, alikuwa Naibu Waziri wa Biashara.

 

11 years ago

Michuzi

wosia wa baba wa taifa

Hotuba ya Mwalimu Nyerere hoteli ya  Kilimanjaro jijini Dar es salaam June 14, 1994

 

11 years ago

GPL

MBOTO ATOA WOSIA WA KIFO

Stori: Gladness Mallya MKALI wa vichekesho Bongo, Haji Salum ‘Mboto’ ameibuka na kusema kuwa endapo atafariki dunia mwili wake ukaagiwe katika Viwanja vya TCC Chang’ombe na siyo Leaders kama ambavyo imekuwa ikifanyika kwa wasanii wengi wanapokufa. Mkali wa vichekesho Bongo, Haji Salum ‘Mboto’. Akizungumza na paparazi wetu kwenye Viwanja vya Leaders wakati wa msiba wa msanii mwenzake, achel...

 

11 years ago

GPL

WOSIA WA MANDELA WAZUA UTATA

Marehemu Nelson Mandela enzi za uhai wake. Mwandishi Wetu na Mitandao WOSIA aliowahi kuuandika hayati Nelson Rolihlahla Mandela ‘Mzee Madiba’ au ‘Tata’ (95) enzi za uhai wake akielezea anavyotaka azikwe, ndiyo tishio kubwa lenye utata kuelekea siku ya mazishi yake, Jumapili ijayo, Ijumaa Wikienda limebaini.
Mtandao mmoja nchini humo umeukumbushia wosia huo huku familia ikianza kuonesha misimamo...

 

9 years ago

GPL

WOSIA KIFO CHA JOKATE

Stori: Brighton Masalu na Boniphace Ngumije UCHURO? Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ ametabiri kile kinachoweza kuitwa ‘wosia wa kifo chake’ kwa kuweka wazi mazingira ambayo angependa yafanyike siku atakapotangulia mbele ya haki. Mwanamitindo Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’. Akizungumza na gazeti hili juzi, mmoja wa rafiki wa Jokate (jina tunalo), alisema staa huyo anapenda msiba wake uwe na mazingira yanayoendana na hadhi...

 

11 years ago

GPL

WOSIA WA GURUMO WAZUA UTATA

Stori: Mayasa Mariwata na Andrew Carlos
MKONGWE wa muziki wa dansi nchini, Muhidin Mohamed Mwalimu Gurumo ‘Maalim Gurumo’ amezikwa jana kwenye makaburi ya kijijini kwake, Masaki, Kisarawe mkoani Pwani, lakini wosia aliouacha kuhusu mazishi yake umezua utata, Risasi Mchanganyiko limedokezwa na wengi. Mwili wa marehemu Gurumo ukishushwa kaburini. Kwa mujibu wa chanzo, wakati wa uhai wake Maalim Gurumo ambaye...

 

10 years ago

Mtanzania

Pinda atamani sheria ya wosia

Mizengo-PindaJonas Mushi na Adam Mkwepu, Dar es Salaam

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema kuna haja ya kuwa na sheria itakayowezesha uandikishaji wosia kuwa wa lazima ili kuondokana na migogoro ya kugombania mali za marehemu na unyanyasaji wa wajane na watoto.

Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam jana, katika maadhimisho ya miaka 25 ya Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) na uzinduzi wa kampeni ya uandishi wa wosia.
Alisema migogoro hiyo kwa kiasi kikubwa inaathiri wanawake na watoto pindi wazazi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani