Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wosia wa Mandela watangazwa

Wosia wa aliyekuwa Rais wa Kwanza mzalendo wa Afrika Kusini, Nelson Mandela umesomwa huku mgawanyo wa mali zake ukielekezwa katika maeneo tofauti.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WOSIA WA MANDELA WAZUA UTATA

Marehemu Nelson Mandela enzi za uhai wake. Mwandishi Wetu na Mitandao WOSIA aliowahi kuuandika hayati Nelson Rolihlahla Mandela ‘Mzee Madiba’ au ‘Tata’ (95) enzi za uhai wake akielezea anavyotaka azikwe, ndiyo tishio kubwa lenye utata kuelekea siku ya mazishi yake, Jumapili ijayo, Ijumaa Wikienda limebaini.
Mtandao mmoja nchini humo umeukumbushia wosia huo huku familia ikianza kuonesha misimamo...

 

10 years ago

Michuzi

JE WAJUA KUWA WOSIA WA MANENO NI WOSIA HALALI KISHERIA?

Wosia ni jambo kati  ya  mambo  ambayo huwasumbua watu  wengi. Sababu ya kuwasumbua  wengi  ni  lile  lile tu  kuwa  ufahamu  wa  mambo ya sheria haujawa wa kutosha  katika jamii. Tatizo la wosia limepelekea magomvi  makubwa  ya kifamlia hasa wakati  wa  misiba au baada ya misiba. Pia  wakati  mwingine ni tatizo  hili hili ambalo  limewafanya baadhi ya  watu tena ndugu  kugombea maiti. Kama watu wanaelewa vyema  habari ya wosia  na  haki  za  kila mtu katika  wosia  sioni  haja  ya  ndugu...

 

11 years ago

Dewji Blog

Uchaguzi wa BAVICHA watangazwa

JOHN HECHE BAVICHA KIKAO CHA KAMATI UTENDAJI BAVICHA PIX NO 1

Mwenyekiti wa Taifa, Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA), John Heche.(Picha na Maktaba)

Na Mwandishi wetu

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Heche, ametangaza kutogombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Septemba 10, mwaka huu kutokana na umri wake kuwa mkubwa.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, Heche alisema anaheshimu Katiba ya chama hicho ambapo kutokana na umri wake kuvuka miaka 30, hatagombea tena nafasi...

 

11 years ago

BBCSwahili

Papa wawili watangazwa watakatifu

Papa John Paul II na Papa John xxIII wametangazwa na Kanisa Katoliki kuwa watakatifu

 

9 years ago

BBCSwahili

Usitishwaji vita watangazwa Sudan.K

Kiongozi wa waasi nchini Sudan Kusini Riek Machar ametangaza usitishwaji vita wa kudumu kuanzia usiku wa manane hii leo Jumamosi

 

9 years ago

BBCSwahili

Wagombea wa michezo ya Olimpiki 2024 watangazwa

Wanaogombea wa kuandaa mashindano ya michezo ya Olimpiki mwaka 2024 wametangazwa.

 

10 years ago

GPL

UZINDUZI MAALUM WA NGUO ZA T.I WATANGAZWA DAR

Rappa kutoka nchini Marekani, Clifford Joseph Harris,'T.I' ni mmoja wa wanamuziki watakaopiga shoo katika Usiku wa Fiesta 2014 viwanja vya Leaders Club.   WAKATI ukidhani kwamba Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 halitakuwa na kitu kingine kikubwa kufuatia taarifa kuwa mshindi wa tuzo ya Grammy rapa T.I. ataongoza shoo siku hiyo, imetangazwa kwamba kutakuwa na uzinduzi maalum wa nguo anazotumia T.I. kama vile Hustle Gang,...

 

11 years ago

KwanzaJamii

Mapapa wawili watangazwa kuwa watakatifu

Na Albano Midelo UMATI mkubwa wa watu  ulikusanyika mjini Vatican kushuhudia tukio la kihistoria ambapo viongozi wawili wa zamani wa Kanisa Katoliki, Papa John Paul II na Papa John XXIII wametangazwa watakatifu. Viongozi hao wakuu wa kanisa katoliki walitangazwa katika ibada iliyoendeshwa kwa pamoja kati ya Papa Francis na mtangulizi wake Papa Benedict XVI imeangaliwa na karibu mahujaji milioni moja na wengine mamilioni ya watu kupitia matangazo ya televisheni na redio. Karibu ujumbe wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani