Mapapa wawili watangazwa kuwa watakatifu
Na Albano Midelo UMATI mkubwa wa watu ulikusanyika mjini Vatican kushuhudia tukio la kihistoria ambapo viongozi wawili wa zamani wa Kanisa Katoliki, Papa John Paul II na Papa John XXIII wametangazwa watakatifu. Viongozi hao wakuu wa kanisa katoliki walitangazwa katika ibada iliyoendeshwa kwa pamoja kati ya Papa Francis na mtangulizi wake Papa Benedict XVI imeangaliwa na karibu mahujaji milioni moja na wengine mamilioni ya watu kupitia matangazo ya televisheni na redio. Karibu ujumbe wa...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili27 Apr
Papa wawili watangazwa watakatifu
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-fzUPRwo5iXM/Uw3tYANqIrI/AAAAAAACbK8/HU-u-WX-LHg/s72-c/3rd+Draw+-+pic....1.jpg)
WAWILI WATANGAZWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZIL WIKI HII
![](http://4.bp.blogspot.com/-fzUPRwo5iXM/Uw3tYANqIrI/AAAAAAACbK8/HU-u-WX-LHg/s1600/3rd+Draw+-+pic....1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-D-LKuqYZVu0/Uw3tZVn0YZI/AAAAAAACbLE/nuvr2fVlpzU/s1600/3rd+Draw+-+pic....9.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6Yn8z8hshnSzsmEtFULgSqp7EIBWm7u0rI*VBAzV1JlzKMK0G39aR9ZRgi0dRgkTMKHnbPqQEWFmYuuwHhcmY9P/1.jpg?width=650)
PAPA FRANCIS AWATANGAZA PAPA JOHN PAUL II, JOHN XXIII KUWA WATAKATIFU
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
“Sheria kulinda siri za wateja inawalinda mapapa’
KAMANDA wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru) Mkoa wa Tanga, Edson Makallo, amesema sheria ya kulinda siri za mteja inayotumika katika taasisi za fedha ni kikwazo...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/qnXigDolgdM/default.jpg)
11 years ago
Mwananchi04 Feb
Wosia wa Mandela watangazwa
11 years ago
Dewji Blog28 Jul
Uchaguzi wa BAVICHA watangazwa
Mwenyekiti wa Taifa, Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA), John Heche.(Picha na Maktaba)
Na Mwandishi wetu
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Heche, ametangaza kutogombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Septemba 10, mwaka huu kutokana na umri wake kuwa mkubwa.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, Heche alisema anaheshimu Katiba ya chama hicho ambapo kutokana na umri wake kuvuka miaka 30, hatagombea tena nafasi...
9 years ago
BBCSwahili29 Aug
Usitishwaji vita watangazwa Sudan.K