“Sheria kulinda siri za wateja inawalinda mapapa’
KAMANDA wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru) Mkoa wa Tanga, Edson Makallo, amesema sheria ya kulinda siri za mteja inayotumika katika taasisi za fedha ni kikwazo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo23 Aug
‘Sheria ya mtandao ipo kulinda usalama na amani’
WAKATI Sheria ya Makosa ya Mtandao ikitarajiwa kuanza kutumika Septemba Mosi, mwaka huu, Watanzania wametakiwa kutambua kuwa serikali haina nia ya kuwahamishia wananchi gerezani bali ni kwa ajili ya usalama wa nchi.
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Bnroap4I0fE/default.jpg)
9 years ago
Bongo513 Oct
Director Hanscana asema video ya ‘Siri’ ya Vanessa ndio inayomletea wateja kutoka nje ya Tanzania
Director wa video za muziki, Hanscana amekiri kuwa video ya Vanessa Mdee ‘Siri’, ndio iliyomfungulia soko la wasanii wa nje kuja kufanya naye video hapa Tanzania. Hanscana ambaye wiki chache zilizopita ameshoot video mpya ya Avril na Ay jijini Dar es salaam, ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa ameshafanya video za wasanii wapatao sita kutoka nje […]
11 years ago
KwanzaJamii28 Apr
Mapapa wawili watangazwa kuwa watakatifu
Na Albano Midelo
UMATI mkubwa wa watu ulikusanyika mjini Vatican kushuhudia tukio la kihistoria ambapo viongozi wawili wa zamani wa Kanisa Katoliki, Papa John Paul II na Papa John XXIII wametangazwa watakatifu.
Viongozi hao wakuu wa kanisa katoliki walitangazwa katika ibada iliyoendeshwa kwa pamoja kati ya Papa Francis na mtangulizi wake Papa Benedict XVI imeangaliwa na karibu mahujaji milioni moja na wengine mamilioni ya watu kupitia matangazo ya televisheni na redio.
Karibu ujumbe wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-k9VaLQL_XnA/XtlI-tokMPI/AAAAAAALspA/PA1UYlDOs_kK07YGKk92raUmgI81WSr4wCLcBGAsYHQ/s72-c/1-6.jpg)
Wizara ya Katiba na Sheria na Tume ya Haki za Binadamu zina Wajibu wa kulinda haki za wananchi-Jaji Mstaafu Mwaimu
![](https://1.bp.blogspot.com/-k9VaLQL_XnA/XtlI-tokMPI/AAAAAAALspA/PA1UYlDOs_kK07YGKk92raUmgI81WSr4wCLcBGAsYHQ/s640/1-6.jpg)
Waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibari, Mhe.Khamis Juma Mwalim, akifafanua jambo kwa wajumbe na wageni wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (hawapo pichani) wakiongozwa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu (kushoto) wakati wa kikao kifupi kilichofanyika ofisini kwake baada ya kutembelewa na ugeni huo loe Juni 4, 2020 Mjini...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/qnXigDolgdM/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog10 Oct
Tigo yawatembeza wateja wake katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) katika kuhadhimisha wiki ya Huduma kwa wateja
![IMG_5004](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_5004.jpg)
![IMG_4911](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_4911.jpg)
![IMG_5035](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_5035.jpg)
![picha 02](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/picha-02.png)
9 years ago
Dewji Blog12 Oct
TTCL Wazinduwa Wiki ya Huduma kwa Wateja, Kuwatembelea Wateja Popote
![](http://1.bp.blogspot.com/-dlrEaJEiGjs/VhuTRuXF7AI/AAAAAAAAEx4/Xj0wS4Xecqc/s640/IMG_0167.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-bHxVCTgy67o/VhuTQUJueRI/AAAAAAAAExk/9kWiFZBnIRc/s640/IMG_0153.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania