Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI IJAYO YAOMBWA KUREKEBISHA SHERIA KULINDA MAKUNDI MAALUM


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YA AWAMU YA TANO YAOMBWA KUREKEBISHA ADHABU YA KIFO

Kushoto ni Mkurugenzi wa Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wajane na kusaidia watoto,Utti Mwang’amba akizungumza na waandishi habari juu ya  serikali ya awamu ya tano kurekebisha sheria ya kifo kwa makundi maalum iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam, Pamoja na wajumbe waliohudhuria katika mkutano huo.Waandishi wa habari wakifatilia taarifa katika ukumbi wa idara ya habari Maelezo  leo jijini Dar es Salaam.
Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
TAASISI  ya Children Education Society (CHESO) ...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yatakiwa kurekebisha sheria ya manunuzi

Serikali imetakiwa kurekebisha sheria  ya manunuzi pamoja na kuweka kipaumbele utoaji wa zabuni kwa  viwanda vya ndani kwa nia ya kuvilinda na kuongeza ustawi wa sekta ya viwanda Ili kuendeleza viwanda vilivyopo hapa nchini.

Sambamba na hilo serikali imetakiwa kuzuia  uingizaji holela wa bidhaa kutoka nje ya nchi ili kutoa nafasi kwa bidhaa zinazozalishwa hapa nchini.

Wakizungumza katika kiwanda cha utengenezaji  wa transforma  cha TANELEC  kilichopo katika eneo la viwanda, njiro jijini...

 

11 years ago

Habarileo

SMZ kurekebisha sheria zilizopitwa na wakati

Waziri wa Uwezeshaji, Wanawake, Vijana na Watoto wa Zanzibar, Zainab Omar MohamedSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeanza mchakato wa kuzipitia sheria zote zinazoonekana kupitwa na wakati ambazo zimekuwa zikiwadhalilisha wanawake na watoto.

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA KUREKEBISHA SHERIA YAWAAGA WASTAAFU WAKE

 Wastaafu wakiwa na wenza wao wakati wa kuaagwa baada ya kukamilisha umri wa kustaafu kazi. Mwenyekiti wa Tume Mhe. Jaji Aloysius Mujulizi akimkabidhi zawadi aliyekuwa Mhasibu Mkuu wa Tume Bi. Regina Gatama wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu. Mwenyekiti wa Tume Mhe. Jaji Aloysius Mujulizi akiwaonesha wastaafu zawadi zao walizokabidhiwa. Picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Mkuu aishukia Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania

Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande ameitaka Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania kuharakisha mchakato wake wa kuandaa ripoti inayohusu migogoro ya ardhi nchini ili kutoa nafasi ya kufanyiwa marekebisho Sheria ya Ardhi.

 

11 years ago

GPL

DK MIGIRO AZINDUA BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dk Asha Rose Migiro akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa TUMESHERIA  katika kikao cha Baraza la wafanyakazi kilichofanyika katika ofisi za Bunge Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi ambaye ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bi. Winfrida Koroso akitoa maelezo mafupi kabla ya Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dk Asha Rose Migiro kuzindua Baraza...

 

11 years ago

Michuzi

DK MIGIRO AZINDUA BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA

 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dk Asha Rose Migiro akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa TUMESHERIA  katika kikao cha Baraza la wafanyakazi kilichofanyika katika ofisi za Bunge Dar es Salaam.  Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi ambaye ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bi. Winfrida Koroso akitoa maelezo mafupi kabla ya Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dk Asha Rose Migiro kuzindua Baraza jipya la Tume.  Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi TUMESHERIA...

 

9 years ago

Michuzi

JK amteua Casmir Kyuki kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Casmir Kyuki kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria.
Kabla ya uteuzi huu, ndugu Kyuki alikuwa Mwandishi Kufuatia uteuzi huu, Rais amemteua Bibi Sarah Barahomoka kuwa Mwandishi Mkuu wa Sheria, kujaza nafasi iliyoachwa wazi na ndugu Kyuki.Kabla ya uteuzi huu, Bibi Barahomoka alikuwa Mkurugenzi Msaidizi, Idara ya uandishi wa Sheria. Uteuzi huu unaanza mara moja.

Wateule hawa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani