Jaji Mkuu aishukia Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania
Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande ameitaka Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania kuharakisha mchakato wake wa kuandaa ripoti inayohusu migogoro ya ardhi nchini ili kutoa nafasi ya kufanyiwa marekebisho Sheria ya Ardhi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
Tume ya Kurekebisha Sheria nchini Uganda Yaitembelea Tume ya Tanzania
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
11 years ago
GPL
DK MIGIRO AZINDUA BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dk Asha Rose Migiro akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa TUMESHERIAÂ katika kikao cha Baraza la wafanyakazi kilichofanyika katika ofisi za Bunge Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi ambaye ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bi. Winfrida Koroso akitoa maelezo mafupi kabla ya Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dk Asha Rose Migiro kuzindua Baraza...
11 years ago
Michuzi.jpg)
DK MIGIRO AZINDUA BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
MichuziTUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YAFANYA KIKAO CHAKE CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI DAR ES SALAAM
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
11 years ago
Michuzi.jpg)
TUME YA KUREKEBISHA SHERIA YAWAAGA WASTAAFU WAKE
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Michuzi
JK amteua Casmir Kyuki kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Casmir Kyuki kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria.
Kabla ya uteuzi huu, ndugu Kyuki alikuwa Mwandishi Kufuatia uteuzi huu, Rais amemteua Bibi Sarah Barahomoka kuwa Mwandishi Mkuu wa Sheria, kujaza nafasi iliyoachwa wazi na ndugu Kyuki.Kabla ya uteuzi huu, Bibi Barahomoka alikuwa Mkurugenzi Msaidizi, Idara ya uandishi wa Sheria. Uteuzi huu unaanza mara moja.
Wateule hawa...
10 years ago
Michuzi
Katibu Mtendaji wa Tume Ya Kurekebisha Sheria Bw. Casmir Kyuki alipoapishwa na kuripoti kazini



9 years ago
MichuziMAWAKILI ZINGATIENI MAADILI YA TAALUMA YA SHERIA – JAJI MKUU
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande amewataka Mawakili kote nchini kufanya kazi zao kwa kuzingatia weledi na maadili ya taaluma ya Sheria na kwamba wasisite kuwaeleza ukweli wateja wao wanaopeleka mashauri Mahakamani ili kuepuka kupoteza muda na gharama katika masuala yanayoweza kupatiwa ufumbuzi nje ya Mahakama. Akizungumza na Mawakili wapya 104 waliohitimu Shule ya Sheria kwa mwaka 2015 wakati wa hafla ya 53 ya kuwapokea na kuwaapisha iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee leo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania