DK MIGIRO AZINDUA BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dk Asha Rose Migiro akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa TUMESHERIAÂ katika kikao cha Baraza la wafanyakazi kilichofanyika katika ofisi za Bunge Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi ambaye ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bi. Winfrida Koroso akitoa maelezo mafupi kabla ya Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dk Asha Rose Migiro kuzindua Baraza...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
DK MIGIRO AZINDUA BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
MichuziTUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YAFANYA KIKAO CHAKE CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI DAR ES SALAAM
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
Michuzi.jpg)
Tume ya Kurekebisha Sheria nchini Uganda Yaitembelea Tume ya Tanzania
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Mwananchi29 Jan
Jaji Mkuu aishukia Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania
11 years ago
Michuzi.jpg)
TUME YA KUREKEBISHA SHERIA YAWAAGA WASTAAFU WAKE
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Michuzi
JK amteua Casmir Kyuki kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Casmir Kyuki kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria.
Kabla ya uteuzi huu, ndugu Kyuki alikuwa Mwandishi Kufuatia uteuzi huu, Rais amemteua Bibi Sarah Barahomoka kuwa Mwandishi Mkuu wa Sheria, kujaza nafasi iliyoachwa wazi na ndugu Kyuki.Kabla ya uteuzi huu, Bibi Barahomoka alikuwa Mkurugenzi Msaidizi, Idara ya uandishi wa Sheria. Uteuzi huu unaanza mara moja.
Wateule hawa...
10 years ago
Michuzi
Katibu Mtendaji wa Tume Ya Kurekebisha Sheria Bw. Casmir Kyuki alipoapishwa na kuripoti kazini



11 years ago
Habarileo15 Jan
Baraza la Wafanyakazi Tume ya Ardhi lazinduliwa
TUME ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi imeagizwa kutenga bajeti ya kutosha kuharakisha utekelezaji wa upangaji wa matumizi ya ardhi nchini ili kupunguza migogoro ya ardhi iliyoshamiri nchini.