Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUME YA KUREKEBISHA SHERIA YAWAAGA WASTAAFU WAKE

 Wastaafu wakiwa na wenza wao wakati wa kuaagwa baada ya kukamilisha umri wa kustaafu kazi. Mwenyekiti wa Tume Mhe. Jaji Aloysius Mujulizi akimkabidhi zawadi aliyekuwa Mhasibu Mkuu wa Tume Bi. Regina Gatama wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu. Mwenyekiti wa Tume Mhe. Jaji Aloysius Mujulizi akiwaonesha wastaafu zawadi zao walizokabidhiwa. Picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Tume ya Kurekebisha Sheria nchini Uganda Yaitembelea Tume ya Tanzania

Mwenyekiti wa Tume mhe. Jaji Aloysius Mujulizi akimkaribisha Kaimu Mwenyekiti wa Tume ya Uganda Bi. Vastina Nsanze na ujumbe wake. Mwenyekiti wa Tume Mhe. Aloysius Mujulizi akiwa na ujumbe wa Tume ya Kurekebisha Sheria ya Uganda ofisini kwake. Ujumbe wa Tume ukiongozwa na mwenyekiti Mhe. Aloysius Mujulizi ukiwa katika mkutano na wenzao wa Uganda unaoongozwa na Bi. Vastina Nsanze. Ujumbe wa Tume ukiwa katika picha ya pamoja na wenzao wa Uganda (Picha zote na Munir Shemweta LRCT)

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Mkuu aishukia Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania

Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande ameitaka Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania kuharakisha mchakato wake wa kuandaa ripoti inayohusu migogoro ya ardhi nchini ili kutoa nafasi ya kufanyiwa marekebisho Sheria ya Ardhi.

 

11 years ago

Michuzi

DK MIGIRO AZINDUA BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA

 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dk Asha Rose Migiro akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa TUMESHERIA  katika kikao cha Baraza la wafanyakazi kilichofanyika katika ofisi za Bunge Dar es Salaam.  Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi ambaye ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bi. Winfrida Koroso akitoa maelezo mafupi kabla ya Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dk Asha Rose Migiro kuzindua Baraza jipya la Tume.  Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi TUMESHERIA...

 

9 years ago

Michuzi

JK amteua Casmir Kyuki kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Casmir Kyuki kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria.
Kabla ya uteuzi huu, ndugu Kyuki alikuwa Mwandishi Kufuatia uteuzi huu, Rais amemteua Bibi Sarah Barahomoka kuwa Mwandishi Mkuu wa Sheria, kujaza nafasi iliyoachwa wazi na ndugu Kyuki.Kabla ya uteuzi huu, Bibi Barahomoka alikuwa Mkurugenzi Msaidizi, Idara ya uandishi wa Sheria. Uteuzi huu unaanza mara moja.

Wateule hawa...

 

11 years ago

GPL

DK MIGIRO AZINDUA BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dk Asha Rose Migiro akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa TUMESHERIA  katika kikao cha Baraza la wafanyakazi kilichofanyika katika ofisi za Bunge Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi ambaye ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bi. Winfrida Koroso akitoa maelezo mafupi kabla ya Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dk Asha Rose Migiro kuzindua Baraza...

 

9 years ago

Michuzi

Katibu Mtendaji wa Tume Ya Kurekebisha Sheria Bw. Casmir Kyuki alipoapishwa na kuripoti kazini

 Katibu Mtendaji wa Tume Ya Kurekebisha Sheria Bw. Casmir Kyuki akila kiapo mbele ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenye hafla ya kuapishwa iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam jana Katibu Mtendaji wa Tume Ya Kurekebisha Sheria Bw. Casmir Kyuki akikabidhiwa ua na mtumishi wa Tume Bi. Angela Gombanila mara baada ya kuwasili ofisi za Tume hiyo mara tu baada ya kuapishwa  Katibu Mtendaji wa Tume Ya Kurekebisha Sheria Bw. Casmir Kyuki akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili ofisi za Tume...

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YAFANYA KIKAO CHAKE CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi ambaye ni Katibu wa Tume Bi. Agnes Mgeyekwa akitoa hotuba fupi katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi TUMESHERIA.Mwenyekiti wa TUGHE tawi la TUMESHERIA Bw. Fredy Kandonga akizungumza katika kikao cha Baraza.Mwenyekiti wa Tume Mh. Jaji Aloysius Mujulizi akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Habarileo

SMZ kurekebisha sheria zilizopitwa na wakati

Waziri wa Uwezeshaji, Wanawake, Vijana na Watoto wa Zanzibar, Zainab Omar MohamedSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeanza mchakato wa kuzipitia sheria zote zinazoonekana kupitwa na wakati ambazo zimekuwa zikiwadhalilisha wanawake na watoto.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani