Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yatakiwa kurekebisha sheria ya manunuzi

Serikali imetakiwa kurekebisha sheria  ya manunuzi pamoja na kuweka kipaumbele utoaji wa zabuni kwa  viwanda vya ndani kwa nia ya kuvilinda na kuongeza ustawi wa sekta ya viwanda Ili kuendeleza viwanda vilivyopo hapa nchini.

Sambamba na hilo serikali imetakiwa kuzuia  uingizaji holela wa bidhaa kutoka nje ya nchi ili kutoa nafasi kwa bidhaa zinazozalishwa hapa nchini.

Wakizungumza katika kiwanda cha utengenezaji  wa transforma  cha TANELEC  kilichopo katika eneo la viwanda, njiro jijini...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

JK ataka mabadiliko sheria ya manunuzi

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete.

 Na Mwandishi wetu

Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete amesema lazima mabadiliko ya kina yafanyike katika idara ya ununuzi wa umma ili kudhibiti kiwango cha rushwa kinachoigharimu serikali

Rais Kikwete amebainisha hayo wiki iliyopita jijini Mwanza katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa 12 wa shirikisho la taasisi za kuzuia na kupambana na rushwa katika  nchi za Umoja Wa Kusini Mwa Afrika ,SADC ambapo...

 

10 years ago

Habarileo

Wataka Sheria ya Manunuzi kurejewa

SERIKALI imeombwa kuifanyia marekebisho Sheria ya Manunuzi ya Umma ili kuondoa baadhi ya vipengele ambavyo hutumiwa na watumishi wasio waaminifu kama mwanya wa kujinufaisha wao binafsi.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli afumua Sheria Manunuzi

TUME ya Kurekebisha Sheria imeanza mchakato wa kuifanyia marekebisho Sheria ya Manunuzi ya Umma ya Mwaka 2011 kama njia ya kuitikia mwito wa Rais John Magufuli ambaye aliahidi kuifanyia marekebisho sheria hiyo wakati analizindua Bunge la 11.

 

11 years ago

Habarileo

SMZ kurekebisha sheria zilizopitwa na wakati

Waziri wa Uwezeshaji, Wanawake, Vijana na Watoto wa Zanzibar, Zainab Omar MohamedSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeanza mchakato wa kuzipitia sheria zote zinazoonekana kupitwa na wakati ambazo zimekuwa zikiwadhalilisha wanawake na watoto.

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA KUREKEBISHA SHERIA YAWAAGA WASTAAFU WAKE

 Wastaafu wakiwa na wenza wao wakati wa kuaagwa baada ya kukamilisha umri wa kustaafu kazi. Mwenyekiti wa Tume Mhe. Jaji Aloysius Mujulizi akimkabidhi zawadi aliyekuwa Mhasibu Mkuu wa Tume Bi. Regina Gatama wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu. Mwenyekiti wa Tume Mhe. Jaji Aloysius Mujulizi akiwaonesha wastaafu zawadi zao walizokabidhiwa. Picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Habarileo

PPRA wasema sheria ya manunuzi iko sawa

MAMLAKA ya Udhibiti wa Umma (PPRA) imesema sheria ya manunuzi ya umma siyo mbaya kama inavyolalamikiwa na wadau mbalimbali, bali tatizo ni uelewa wa sheria hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Mkuu aishukia Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania

Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande ameitaka Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania kuharakisha mchakato wake wa kuandaa ripoti inayohusu migogoro ya ardhi nchini ili kutoa nafasi ya kufanyiwa marekebisho Sheria ya Ardhi.

 

11 years ago

Michuzi

SEMINA YA SHERIA YA MANUNUZI iliyoandaliwa na ACCT imekamilika leo

Association of Citizen Contractors (ACCT) organized a two-day seminar on the new Procurement Act of 2011, at Kunduchi Beach Hotel from 11th to 12th June 2014 has been conducted by Dr. Ramadhani Mlinga who is the former CEO of PPRA and a seasoned specialist in the Procurement area. 
This program is very important to the construction industry as it will highlight key changes introduced in the Public Procurement Act of 2011 and its 2013 regulations and explained the impact of these changes...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani