JK ataka mabadiliko sheria ya manunuzi
Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete.
Na Mwandishi wetu
Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete amesema lazima mabadiliko ya kina yafanyike katika idara ya ununuzi wa umma ili kudhibiti kiwango cha rushwa kinachoigharimu serikali
Rais Kikwete amebainisha hayo wiki iliyopita jijini Mwanza katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa 12 wa shirikisho la taasisi za kuzuia na kupambana na rushwa katika nchi za Umoja Wa Kusini Mwa Afrika ,SADC ambapo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo16 Dec
Magufuli afumua Sheria Manunuzi
TUME ya Kurekebisha Sheria imeanza mchakato wa kuifanyia marekebisho Sheria ya Manunuzi ya Umma ya Mwaka 2011 kama njia ya kuitikia mwito wa Rais John Magufuli ambaye aliahidi kuifanyia marekebisho sheria hiyo wakati analizindua Bunge la 11.
10 years ago
Habarileo05 Jul
Wataka Sheria ya Manunuzi kurejewa
SERIKALI imeombwa kuifanyia marekebisho Sheria ya Manunuzi ya Umma ili kuondoa baadhi ya vipengele ambavyo hutumiwa na watumishi wasio waaminifu kama mwanya wa kujinufaisha wao binafsi.
9 years ago
StarTV31 Dec
Serikali yatakiwa kurekebisha sheria ya manunuzi
Serikali imetakiwa kurekebisha sheria ya manunuzi pamoja na kuweka kipaumbele utoaji wa zabuni kwa viwanda vya ndani kwa nia ya kuvilinda na kuongeza ustawi wa sekta ya viwanda Ili kuendeleza viwanda vilivyopo hapa nchini.
Sambamba na hilo serikali imetakiwa kuzuia uingizaji holela wa bidhaa kutoka nje ya nchi ili kutoa nafasi kwa bidhaa zinazozalishwa hapa nchini.
Wakizungumza katika kiwanda cha utengenezaji wa transforma cha TANELEC kilichopo katika eneo la viwanda, njiro jijini...
10 years ago
Habarileo14 May
PPRA wasema sheria ya manunuzi iko sawa
MAMLAKA ya Udhibiti wa Umma (PPRA) imesema sheria ya manunuzi ya umma siyo mbaya kama inavyolalamikiwa na wadau mbalimbali, bali tatizo ni uelewa wa sheria hiyo.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-7xWFDA0-UTc/U5m2u3Y9IuI/AAAAAAAFqGQ/1RJ_FYZcDoo/s72-c/Untitled1.png)
SEMINA YA SHERIA YA MANUNUZI iliyoandaliwa na ACCT imekamilika leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-7xWFDA0-UTc/U5m2u3Y9IuI/AAAAAAAFqGQ/1RJ_FYZcDoo/s1600/Untitled1.png)
This program is very important to the construction industry as it will highlight key changes introduced in the Public Procurement Act of 2011 and its 2013 regulations and explained the impact of these changes...
10 years ago
MichuziPPRA YAWAPIGA MSASA WAFANYAKAZI WA TIA KUHUSU SHERIA MPYA YA MANUNUZI JIJINI DAR
9 years ago
Habarileo13 Oct
Mkapa ataka mabadiliko UN
RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ametoa wito wa kufanyika kwa mabadiliko katika mfumo wa uendeshaji wa Umoja wa Mataifa ili kukidhi mahitaji ya sasa ya dunia.
Mkapa alisema hayo jana katika mdahalo kwenye juma la Umoja wa Mataifa ambalo linamalizika leo, katika maadhimisho ya miaka 70 tangu kuundwa kwa umoja huo. Mdahalo huo umefanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jana.
Mkapa ambaye alichukua muda wake mwingi kuelezea na kuangalia maslahi ya Umoja wa Mataifa...
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Wenger ataka mabadiliko Arsenal
10 years ago
BBCSwahili13 Jan
Kocha bora wa dunia ataka mabadiliko