Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SEMINA YA SHERIA YA MANUNUZI iliyoandaliwa na ACCT imekamilika leo

Association of Citizen Contractors (ACCT) organized a two-day seminar on the new Procurement Act of 2011, at Kunduchi Beach Hotel from 11th to 12th June 2014 has been conducted by Dr. Ramadhani Mlinga who is the former CEO of PPRA and a seasoned specialist in the Procurement area. 
This program is very important to the construction industry as it will highlight key changes introduced in the Public Procurement Act of 2011 and its 2013 regulations and explained the impact of these changes...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WENGI WAJITOKEZA KWENYE SEMINA MAALUM YA UONGOZI BORA ILIYOANDALIWA NA MIKONO SPEAKERS

Nguli wa Maswala ya Uongozi na Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya Kimataifa ya Brian Tracy kutoka nchini Marekani,Brian Tracy akikiongoza semina maalum ya uongozi bora iliyoandaliwa na Mikono Speakers,iliyofanyika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere,Jijini Dar es Salaam.Nguli mwingine alietoa mada kwenye Semina hiyo ni Azim Jamal ambaye ni Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Corporate Sufi Worldwide Inc. kampuni inayojihusisha na kusaidia wadau na makampuni kupata...

 

10 years ago

Habarileo

Wataka Sheria ya Manunuzi kurejewa

SERIKALI imeombwa kuifanyia marekebisho Sheria ya Manunuzi ya Umma ili kuondoa baadhi ya vipengele ambavyo hutumiwa na watumishi wasio waaminifu kama mwanya wa kujinufaisha wao binafsi.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli afumua Sheria Manunuzi

TUME ya Kurekebisha Sheria imeanza mchakato wa kuifanyia marekebisho Sheria ya Manunuzi ya Umma ya Mwaka 2011 kama njia ya kuitikia mwito wa Rais John Magufuli ambaye aliahidi kuifanyia marekebisho sheria hiyo wakati analizindua Bunge la 11.

 

10 years ago

Dewji Blog

JK ataka mabadiliko sheria ya manunuzi

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete.

 Na Mwandishi wetu

Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete amesema lazima mabadiliko ya kina yafanyike katika idara ya ununuzi wa umma ili kudhibiti kiwango cha rushwa kinachoigharimu serikali

Rais Kikwete amebainisha hayo wiki iliyopita jijini Mwanza katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa 12 wa shirikisho la taasisi za kuzuia na kupambana na rushwa katika  nchi za Umoja Wa Kusini Mwa Afrika ,SADC ambapo...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yatakiwa kurekebisha sheria ya manunuzi

Serikali imetakiwa kurekebisha sheria  ya manunuzi pamoja na kuweka kipaumbele utoaji wa zabuni kwa  viwanda vya ndani kwa nia ya kuvilinda na kuongeza ustawi wa sekta ya viwanda Ili kuendeleza viwanda vilivyopo hapa nchini.

Sambamba na hilo serikali imetakiwa kuzuia  uingizaji holela wa bidhaa kutoka nje ya nchi ili kutoa nafasi kwa bidhaa zinazozalishwa hapa nchini.

Wakizungumza katika kiwanda cha utengenezaji  wa transforma  cha TANELEC  kilichopo katika eneo la viwanda, njiro jijini...

 

10 years ago

Habarileo

PPRA wasema sheria ya manunuzi iko sawa

MAMLAKA ya Udhibiti wa Umma (PPRA) imesema sheria ya manunuzi ya umma siyo mbaya kama inavyolalamikiwa na wadau mbalimbali, bali tatizo ni uelewa wa sheria hiyo.

 

9 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA KITIVO CHA BIASHARA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM WANUFAIKA NA SEMINA MAALUM YA MASUALA YA BIASHARA ILIYOANDALIWA NA VODACOM TANZANIA

Mwanafunzi wa mwaka wa pili wa masomo ya biashara katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Zahra Ramadhani(kulia) akielezewa jambo na mfanyakazi wa Vodacom Tanzania, Habibu Ngosha ,kuhusiana na simu aina ya Smart Phone wakati Semina maalum ya mafunzo ya Kibiashara iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa kushirikiana na wadau wa masuala ya biashara hapo jana chuoni hapo. Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Bidhaa wa Vodacom Tanzania,Samson Mwongela akimkabidhi zawadi mmoja wa wanafunzi wanaosoma masomo ya...

 

10 years ago

Michuzi

PPRA YAWAPIGA MSASA WAFANYAKAZI WA TIA KUHUSU SHERIA MPYA YA MANUNUZI JIJINI DAR

Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania(TIA) Dkt.Joseph .M.Kihanda mwenye suti nyeusi(waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wa Mafunzo maalum kuhusu sheria mpya ya manunuzi ya umma yaani PPA 2011 na kanuni zake PPR.2013 ambao ni wadau wa kitengo cha manunuzi kinachosimamiwa na Bi.Juliana Musomi,Pius Seda,Salha Tego,Dickson Biya,Ezra Obilla,Kennedy Ndosi,Zubeda Mohamed,Alton Kumburu  na Stephen Mahinya),wajumbe wa bodi ya zabuni ya Taasisi hiyo ambao ni Bw.Zodo...

 

10 years ago

Michuzi

shamrashamra za manunuzi ya nguo za krismasi mtaa wa kongo jijini dar leo


SHAMRA SHAMRA ZA MANUNUZI YA BIDHAA ZA KRISMAX MTAA WA KONGOBaadhi ya akina mama wakichagua nguo Mfanyabiashara  katika mtaa wa kongo akipuliza mrija wenye maji ya sabuni ambayo anauza 
mama huyu akitengenezwa nywele baada ya kununua mtaa wa Kongo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani