Mkapa ataka mabadiliko UN
RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ametoa wito wa kufanyika kwa mabadiliko katika mfumo wa uendeshaji wa Umoja wa Mataifa ili kukidhi mahitaji ya sasa ya dunia.
Mkapa alisema hayo jana katika mdahalo kwenye juma la Umoja wa Mataifa ambalo linamalizika leo, katika maadhimisho ya miaka 70 tangu kuundwa kwa umoja huo. Mdahalo huo umefanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jana.
Mkapa ambaye alichukua muda wake mwingi kuelezea na kuangalia maslahi ya Umoja wa Mataifa...
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog13 Oct
Mkapa ataka mfumo wa UN ubadilishwe
Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez akipozi na bango la picha lenye rangi mbalimbali zinazowakilisha malengo ya dunia 17 kwa Maendeleo Endelevu wakati wa mdahalo kwenye juma la Umoja wa Mataifa ambalo linamalizika leo katika maadhimisho ya miaka 70 tangu kuundwa kwa umoja huo. Mdahalo huo umefanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jana.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).
Na Mwandishi...
10 years ago
Mwananchi17 Nov
Mkapa ataka wazee nchini wasibezwe
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Wenger ataka mabadiliko Arsenal
10 years ago
Dewji Blog08 Nov
JK ataka mabadiliko sheria ya manunuzi
Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete.
Na Mwandishi wetu
Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete amesema lazima mabadiliko ya kina yafanyike katika idara ya ununuzi wa umma ili kudhibiti kiwango cha rushwa kinachoigharimu serikali
Rais Kikwete amebainisha hayo wiki iliyopita jijini Mwanza katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa 12 wa shirikisho la taasisi za kuzuia na kupambana na rushwa katika nchi za Umoja Wa Kusini Mwa Afrika ,SADC ambapo...
10 years ago
BBCSwahili13 Jan
Kocha bora wa dunia ataka mabadiliko
10 years ago
Habarileo17 Sep
Kinana ataka mabadiliko mfumo utumishi wa umma
KATIBU Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana amesema kuna haja ya mfumo wa utumishi wa umma kubadilishwa, ikiwa ni njia ya kuhakikisha wanawajibika kwa wananchi.
9 years ago
Habarileo22 Dec
Ataka kasi ya mabadiliko kwa maofisa wa jeshi TMA
MKUU wa vikosi vilivyo chini ya Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi wa Taifa (JWTZ), Meja Jenerali, Issa Nassoro amewataka maofisa wa jeshi katika Chuo cha Kijeshi Monduli (TMA) kuendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia na mawasiliano duniani kuboresha utendaji kazi wao wa kila siku.
10 years ago
Dewji Blog06 Nov
Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini ataka wananchi wa vijijini wasaidiwe kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi
Mratibu wa mradi wa kudhibiti wanyama wakali kwa kutumia waya na mitii maalumu inayohimili ukame unaofadhiliwa na UNDP Dr. Maurus Msuha akitoa maelezo kwa Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kulia) alipotembelea miradi mbalimbali inayofadhiliwa na shirika la UNDP wilayani Longido mkoani Arusha katika ziara yake ya siku mbili mara baada ya kuwasili wilayani humo....
10 years ago
Michuzi23 Aug
MH. PINDA AKUTANA NA MZEE MKAPA NA MAMA ANNA MKAPA JIJINI MWANZA
![PG4A2748](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/DPF5wRQ8hZJkbNwgo5RV5x162SMVaIqQH6iZ3iwcSyhi2cTfwhAO9RSjy0G2_FKQXVjU8PQYNTyHxtpr1Kn7_dlx0O_01m2Kj8mFqLfeqKz_idL8zmsojQU6AQw=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/08/PG4A2748.jpg)
![PG4A2753](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/3Ay8koHw5HAN2Sh7mZyZQharKSrMHWV-GAP-oeX7mx2F2eCduWxyIjQjAJvE5ZS_1KosnqVMP8nsUcFqxcbEaQyogesPAfsWW9h3cvDKaqWB-PmPjZqRuAeRJZI=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/08/PG4A2753.jpg)