Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana ataka mabadiliko mfumo utumishi wa umma

KATIBU Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana amesema kuna haja ya mfumo wa utumishi wa umma kubadilishwa, ikiwa ni njia ya kuhakikisha wanawajibika kwa wananchi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

JK ataka weledi utumishi wa umma

UTUMISHI wa Umma nchini umetakiwa kubadilika katika utendaji wao ili kuwa wawezeshaji zaidi badala ya wakwamishaji katika kutoa maamuzi muhimu ya utendaji wa shughuli mbalimbali nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Mwinyi ataka maboresho utumishi wa umma

Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan MwinyiRAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amewataka watumishi wa umma kufanyia kazi mapendekezo yaliyotolewa na washiriki katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, ili kuwa na utumishi uliotukuka kwa ustawi wa Taifa.

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MABADILIKO YA ANUANI YA OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA

Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma inapenda kuwafahamisha wadau wake kuwa anuani yake imebadilika hivyo kuanzia sasa mawasiliano yafanyike kwa kutumia anuani ifuatayo;
OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA UTUMISHI HOUSE 8 BARABARA YA KIVUKONI 11404 DAR ES SALAAM au PRESIDENT’S OFFICE, PUBLIC SERVICE MANAGEMENT UTUMISHI HOUSE 8 KIVUKONI ROAD 11404 DAR ES SALAAM
Anuani hii inachukua nafasi ya Sanduku la Posta 2483, Dar es salaam. Hivyo, mawasiliano yote yazingatie...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana atinga Masasi, ataka CCM iendelee kuibana serikali juu ya wafujaji wa fedha za umma

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ufyatuaji matofali kwa kutumia mashine ya kujengea ofisi ya CCM Wilaya ya Masasi, wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).

 Kinana akilakiwa katika Kijiji cha Mwena-Ndanda alipoanza ziara katika Wilaya ya Masasi, mkoani...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU UTUMISHI GEORGE YAMBESI ASTAAFU UTUMISHI WA UMMA

 Katibu Mkuu Utumishi Bw.George D. Yambesi (kushoto) akikabidhi ofisi kwa Naibu Katibu Mkuu Utumishi Bw. Hab Mkwizu baada ya kustaafu Utumishi wa Umma.Makabidhiano hayo yamefanyika ofisini kwake.Katibu Mkuu -Utumishi Bw. George D. Yambesi (katikati) akipongezwa na Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu Bw. Aloyce Msigwa, (kushoto) ni Naibu Katibu Mkuu-Utumishi Bw. Hab Mkwizu. Bw. Yambesi amestaafu Utumishi wa Umma.

 

10 years ago

Michuzi

UTUMISHI YAKABIDHIWA ZAWADI YA USHIRIKI WA TANZANIA KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA BARANI AFRIKA YALIYOFANYIKA CONGO BRAZAVILLE

Kaimu Katibu Mkuu Utumishi Bw.HAB Mkwizu (katikati) akipokea cheti cha ushiriki wa Tanzania kutoka kwa Mmoja wa Washiriki wa Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma  Barani Afrika Bw. William Budoya yaliyofanyika nchini Congo Brazaville hivi karibuni. Wanaoshuhudia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Florence Temba (wa kwanza kushoto), Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.Aloyce Msigwa (wa pili kutoka kushoto) na...

 

5 years ago

Michuzi

TUME YA UTUMISHI WA UMMA KUANZA KUSIKILIZA KERO NA MALALAMIKO YA WATUMISHI WA UMMA

Tume ya Utumishi wa Umma inapenda kuwajulisha watumishi wa umma na wananchi wote kuwa kuanzia leo tarehe 16 hadi 23 Juni 2020,  itakuwa inapokea na kusikiliza kero na malalamiko ya watumishi wa umma kuhusu masuala mbalimbali ya kiutumishi. Hii ni katika kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma.
Tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona inapewa kipaumbele katika kipindi hiki. Tunatakiwa kuzingatia Miongozo inayotolewa na Wizara ya Afya pamoja na maelekezo ya Viongozi Wakuu wa Nchi. Aidha,  watumishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani