TUME YA UTUMISHI WA UMMA KUANZA KUSIKILIZA KERO NA MALALAMIKO YA WATUMISHI WA UMMA
Tume ya Utumishi wa Umma inapenda kuwajulisha watumishi wa umma na wananchi wote kuwa kuanzia leo tarehe 16 hadi 23 Juni 2020, itakuwa inapokea na kusikiliza kero na malalamiko ya watumishi wa umma kuhusu masuala mbalimbali ya kiutumishi. Hii ni katika kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma.
Tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona inapewa kipaumbele katika kipindi hiki. Tunatakiwa kuzingatia Miongozo inayotolewa na Wizara ya Afya pamoja na maelekezo ya Viongozi Wakuu wa Nchi. Aidha, watumishi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi05 May
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-eegszFxHmBY/VeauaIT8rYI/AAAAAAAABlM/tyezAN8UoTM/s72-c/PIX%2B02.jpg)
WATUMISHI WA UMMA WA MKOA WA MBEYA NA NYANDA ZA JUU KUSINI WATAKIWA KUJIENDELEZA KUPITIA TAWI LA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA TAWI LA MBEYA
![](http://1.bp.blogspot.com/-eegszFxHmBY/VeauaIT8rYI/AAAAAAAABlM/tyezAN8UoTM/s640/PIX%2B02.jpg)
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,HAB Mkwizu, akizungumza wakati wa mahafali ya 22 ya Chuo cha Utumishi Tanzania (TPSC) na ya kwanza kwa tawi la Mbeya hivi karibuni Jijini Mbeya.
Sehemu ya wahitimu wa Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Tawi la Mbeya wakiwa...
10 years ago
Michuzi27 Feb
UTEUZI KATIKA TUME YA UTUMISHI WA UMMA NA TUME YA USULUHISHI NA UAMUZI (CMA)
Katika uteuzi huo, Rais amemteua Mhe. DKT. STEPHEN JAMES BWANA, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma na BWANA EDRISSA R. MAVURA, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA), Bw. Mavura ni Naibu Katibu Mkuu Mstaafu.
Sambamba na uteuzi huu, Rais amewateua Makamishna katika...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-LuR_yz-NAoQ/U6RAwRz5n6I/AAAAAAAFr-o/_q19glYltwQ/s72-c/No.+1.jpg)
Wananchi wahimizwa kutembelea Banda la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
Wananchi wamehimizwa kutembelea banda la Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Wito huo umetolewa na Afisa wa Maadili Mwandamizi Bw. Bazilio Mwanakatwe wakati akizungumza na Waandishi wa Habari waliotembelea banda la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika maonesho hayo.
Bw. Mwanakatwe aliendelea kubainisha kuwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-77bxu2GXe3M/XuY7QpwTL7I/AAAAAAALty8/baT_F4dIAYcmUEJvC4ziVLgBhEJNj9reACLcBGAsYHQ/s72-c/e8bc8640-2d9b-4ea5-a823-5c140f5d3327.jpg)
SERIKALI YAZIELEKEZA TAASISI ZA UMMA KUADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA MWAKA 2020 KWA KUDUMISHA USHIRIKIANO NA WADAU
![](https://1.bp.blogspot.com/-77bxu2GXe3M/XuY7QpwTL7I/AAAAAAALty8/baT_F4dIAYcmUEJvC4ziVLgBhEJNj9reACLcBGAsYHQ/s640/e8bc8640-2d9b-4ea5-a823-5c140f5d3327.jpg)
***********************************
Na: James Mwanamyoto – Dodoma
Tarehe 14 Juni, 2020
Taasisi za umma nchini zimeelekezwa kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-brI3FKtmzik/XqgOWWdoqOI/AAAAAAALod8/fP8zSDPzDPER_v0jqiYQQnmyZ902A2cCQCLcBGAsYHQ/s72-c/0001.jpg)
WAAJIRI WASIOWAPELEKA WATUMISHI KUPATA MAFUNZO CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA KUCHUKULIWA HATUA
![](https://1.bp.blogspot.com/-brI3FKtmzik/XqgOWWdoqOI/AAAAAAALod8/fP8zSDPzDPER_v0jqiYQQnmyZ902A2cCQCLcBGAsYHQ/s640/0001.jpg)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Manejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Msaafu) George Huruma Mkuchika (Mb) akizungumza wakati wa Mahafali ya 28 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania yaliyofanyika katika Kampasi ya Mbeya.
………………………………………………………………..
James Mwanamyoto – Dodoma
Waajiri katika Taasisi za Umma wenye watumishi ambao hawajapata mafunzo ya namna Serikali inavyofanya kazi, wametakiwa kuwapeleka watumishi hao kupata mafunzo Chuo cha Utumishi wa Umma mapema iwezekanavyo...
10 years ago
StarTV30 Mar
LHRC yakosoa sheria ya uanzishwaji tume ya maadili ya watumishi umma.
Na Neema Ndetto,
Dar es Salaam,
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC kimekosoa sheria ya uanzishwaji wa Tume ya Maadili kwa Watumishi kwa madai kuwa imelenga kuwalinda watumishi wanaoendelea kufuja mali za umma.
Kimewataka watanzania kuvisoma kwa umakini vifungu vya Katiba inayopendekezwa vinavyozungumzia uwajibikaji ili waweze kuvitumia kuwawajibisha viongozi wao.
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimebainisha hayo jijini Dar es Salaam wakati kikizungumzia mwenendo na...
11 years ago
MichuziOFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA YAKUTANISHA WADAU KUTOA MAONI KUHUSU MIKATABA YA UTENDAJI KAZI KATIKA TAASISI ZA UMMA