Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KATIBU MKUU UTUMISHI GEORGE YAMBESI ASTAAFU UTUMISHI WA UMMA

 Katibu Mkuu Utumishi Bw.George D. Yambesi (kushoto) akikabidhi ofisi kwa Naibu Katibu Mkuu Utumishi Bw. Hab Mkwizu baada ya kustaafu Utumishi wa Umma.Makabidhiano hayo yamefanyika ofisini kwake.Katibu Mkuu -Utumishi Bw. George D. Yambesi (katikati) akipongezwa na Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu Bw. Aloyce Msigwa, (kushoto) ni Naibu Katibu Mkuu-Utumishi Bw. Hab Mkwizu. Bw. Yambesi amestaafu Utumishi wa Umma.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU KIONGOZI ATEMBELEA BANDA LA MAMBO YA NJE KWENYE WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushiriano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya akimkaribisha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue kwenye Banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakati wa maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Habu Mkwizu. Balozi Sefue akisaini Kitabu cha Wageni katika Banda la Wizara ya Mambo ya Nje...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MABANDA MAONYESHO UTUMISHI WA UMMA DAR

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dickson Maimu akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (wapili kulia) katika Banda la Nida kujifunza masuala mbalimbali ya kiutendaji yanayofanywa na Mamlaka hiyo iliyopo Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Habari wa Wizara hiyo, Christina Mwangosi.  Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AKIFUNGUA KONGAMANO LA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA LEO JIJINI DAR

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue  akifungua kongamano la  Wiki ya Utumishi wa Umma lililofanyika leo  kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue  (kushoto) akipeana mkono leo  na   Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu  Balozi Dkt. Matern Lumbanga(katikati)   mara  baada   kufungua kongamano la  Wiki ya Utumishi wa Umma lililofanyika  leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KIONGOZI, BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA BANDA LA 'NHIF' KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA LEO

   Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akipitia taarifa ya huduma zinazotolewa na Mfuko aliyokabidhibiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Michael Mhando baada ya kutembelea banda hilo katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.     Katibu Mkuu Kiongozi akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa NHIF katika banda la maonesho ya wiki ya Utumishi.  Picha ya pamoja ya watumishi wa NHIF wanaoshiriki maonesho ya wiki ya Utumishi wa Umma.PICHA NA EMMANUEL...

 

10 years ago

Michuzi

UTUMISHI YAKABIDHIWA ZAWADI YA USHIRIKI WA TANZANIA KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA BARANI AFRIKA YALIYOFANYIKA CONGO BRAZAVILLE

Kaimu Katibu Mkuu Utumishi Bw.HAB Mkwizu (katikati) akipokea cheti cha ushiriki wa Tanzania kutoka kwa Mmoja wa Washiriki wa Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma  Barani Afrika Bw. William Budoya yaliyofanyika nchini Congo Brazaville hivi karibuni. Wanaoshuhudia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Florence Temba (wa kwanza kushoto), Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.Aloyce Msigwa (wa pili kutoka kushoto) na...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YAKE KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA

Afisa wa Jeshi la Magereza nchini, Nsajigwa Mwankenja akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil kuhusu shughuli zinazofanywa na Jeshi hilo, wakati Katibu Mkuu alipotembelea Banda la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakati wa maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil, akipata maelezo kutoka kwa Maafisa wa Uhamiaji kuhusu...

 

10 years ago

Michuzi

WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KATIKA BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Bi. Regina Kikuli (wa nne kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma alipowatembelea tarehe 21 Juni, 2015.  Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Bi. Regina Kikuli (wa pili kutoka kushoto) akimsikiliza kwa makini Mratibu wa Shughuli za Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Edger Senga akielezea juu ya sera ya uratibu wa Menejimenti ya maafa alipowatembelea wakati wa...

 

10 years ago

Michuzi

WATAALAM WA KUJITOLEA WA KIJAPANI WAKUTANA NA KATIBU MKUU OFISI YA RAIS - UTUMISHI

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi (katika kiti kikubwa) akiongea na wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japani waliomtembelea ofisini kwake kujitambulisha. Wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japani wakipiga makofi kumshukuru Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi mara baada ya kuwakaribisha nchini kufanya kazi sekta mbalimbali. Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani